Mo shyner JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 484 Reaction score 1,152 Mar 8, 2024 #21 Skankaa!
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,845 Mar 8, 2024 Thread starter #22 ngaboru said: Labda mkokaaaa n jamii ya mirungi yanaliwa majani yake... Click to expand... Kwa hapa Tanzania linapatikana wapi?
ngaboru said: Labda mkokaaaa n jamii ya mirungi yanaliwa majani yake... Click to expand... Kwa hapa Tanzania linapatikana wapi?
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,845 Mar 8, 2024 Thread starter #23 proton pump said: dawa Click to expand... Inatibu nini?
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,845 Mar 8, 2024 Thread starter #24 Mo shyner said: Skankaa! Click to expand... Ndilo jina lake la Kisayansi? Linatumikaje? Linastawi maeneo gani?
Mo shyner said: Skankaa! Click to expand... Ndilo jina lake la Kisayansi? Linatumikaje? Linastawi maeneo gani?
ngaboru JF-Expert Member Joined Mar 3, 2016 Posts 2,116 Reaction score 5,531 Mar 8, 2024 #25 GoldDhahabu said: Kwa hapa Tanzania linapatikana wapi? Click to expand... As nimesema labda so sifahamu kiundani...
GoldDhahabu said: Kwa hapa Tanzania linapatikana wapi? Click to expand... As nimesema labda so sifahamu kiundani...
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,292 Reaction score 28,448 Mar 8, 2024 #26 GoldDhahabu said: Linastawi Tanzania? Linatumikaje? View attachment 2928058 Click to expand... Hiyo ni mirungi na hapo ni Kenya, wao ni zao la biashara na husafirishwa kwenda ulaya. Arusha ndipo mahali pake.
GoldDhahabu said: Linastawi Tanzania? Linatumikaje? View attachment 2928058 Click to expand... Hiyo ni mirungi na hapo ni Kenya, wao ni zao la biashara na husafirishwa kwenda ulaya. Arusha ndipo mahali pake.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,845 Mar 8, 2024 Thread starter #27 Hismastersvoice said: Hiyo ni mirungi na hapo ni Kenya, wao ni zao la biashara na husafirishwa kwenda ulaya. Arusha ndipo mahali pake. Click to expand... Linalimwa Arusha au linaingizwa kwa njia za panya? Nafikiri ni bidhaa haramu Tanzania.
Hismastersvoice said: Hiyo ni mirungi na hapo ni Kenya, wao ni zao la biashara na husafirishwa kwenda ulaya. Arusha ndipo mahali pake. Click to expand... Linalimwa Arusha au linaingizwa kwa njia za panya? Nafikiri ni bidhaa haramu Tanzania.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,292 Reaction score 28,448 Mar 8, 2024 #28 GoldDhahabu said: Linalimwa Arusha au linaingizwa kwa njia za panya? Nafikiri ni bidhaa haramu Tanzania. Click to expand... Soma vizuri nilichokiandika.
GoldDhahabu said: Linalimwa Arusha au linaingizwa kwa njia za panya? Nafikiri ni bidhaa haramu Tanzania. Click to expand... Soma vizuri nilichokiandika.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,690 Reaction score 24,013 Mar 8, 2024 #29 ngaboru said: Labda mkokaaaa n jamii ya mirungi yanaliwa majani yake... Click to expand... Inawezekana pia
ngaboru said: Labda mkokaaaa n jamii ya mirungi yanaliwa majani yake... Click to expand... Inawezekana pia
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,690 Reaction score 24,013 Mar 8, 2024 #30 GoldDhahabu said: Huwa unaitumiaje? Click to expand... Nilishawahi kuitumia way back nilipokuwa Arusha kikazi kufuata mkumbo wa marafiki haha na nilishaacha kipindi kirefu sana
GoldDhahabu said: Huwa unaitumiaje? Click to expand... Nilishawahi kuitumia way back nilipokuwa Arusha kikazi kufuata mkumbo wa marafiki haha na nilishaacha kipindi kirefu sana
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,897 Reaction score 27,023 Mar 8, 2024 #32 GoldDhahabu said: Linastawi Tanzania? Linatumikaje? View attachment 2928058 Click to expand... Chai