Hivi Kuna product inayotokana na mirungi au unaliwa mzizi wenyewe? Namaanisha Kama cocaine zao ke ni opium poppy na eucaryptus coca. Je mirungi inatengenezwa na nini

Serious mkuu? Inajiotea tu shambani kwangu pembeni ya korongo la mto especially kipindi hiki cha mvua nzito alafu hakuna mtu anayeijua zaidi yangu pale.