Wachungaji 3 walikutana waelezane matatizo yao ili waweze kuombeana wa kwanza akasema jamani mimi tatizo langu wizi yaani kila nikimaliza ibada lazima niibe hela za sadaka,Wapili akasema jaman mimi tatizo langu napenda wanawake yaani kila mwanamke nataka kulala nae nimeshatembea na wanakwaya wote,Watatu badala ya kuongea akaanza kulia wenzie wakamuuliza unalia nini?akajibu jamani mimi tatizo langu umbea yaani haya yote tuliongea lazima nikaseme...