Hili ni tatizo kwa Ronaldo, ni la muda mrefu

Huwezi ku conclude kwa kutumia shindano moja tena la msimu.

Kiufupi umepuyanga angalia angalia record za mchezaji maisha yake yote unataka kusema Ronaldo ndio ana assists nyingi UEFA? Assists?????
Ndio maana nilikuuliza unajua mchezaji mwenye assist nyingi wa uefa wa muda wote

Kumbuka uefa ni mashindano ya kila msimu na wachezaji wote wakubwa unaowajua wewe wanashiriki
 
Vitu vingine ni ubishi usio na sababu na mahaba yanakusumbua sana.
Sasa kinachoangaliwa ni record za tournament moja moja au record za mashindano yote?

Kwa angle hii unayoweka ina maana kuna wachezaji wazuri kwa mashindano fulani tu,
Tutapata mchezaji bora UEFA tu.
Tutapata mchezaji bora epl
Tutapata mchezaji bora euro.
Tutapata mchezaji bora World Cup.

Hii sio namna nzuri ya kuweka statics za mchezaji..

Hivi ni wapi nilipobisha kuwa Ronaldo hajafanya hivyo zaidi ya mimi kukuuliza?
Hujui kuuliza na kutoa statement upo upo kama engine ya fuso..

Kwa mantiki unayodai basi tuseme Pele ni mchezaji bora sana kwa kuwa amechukua World Cup Mara nyingi kuliko wengine..
Na hata ukisema UEFA wachezaji wote wakubwa wanashiriki huoni kuwa muda wao wa kucheza unatofautiana?

Sasa mfano Harland na Ronaldo wanafanana? Hata Suarez pia hajaanza kucheza zamani kama Ronaldo lakini angalia record zake sasa..

Kichwa maji na hujui chochote..
 
Hiyo ndio moja ya tabia yakushangaza sana kutoka kwa Ronaldo,hua sielewi nikwanini anakua hivyo na ikitokea amekwenda kushangalia na wenzie basi hufika amechelewa sana na hatoonesha furaha kubwa sana sana atamgusa na mkono mwenzie kichwani ndo imetoka.

Nampenda sana Ronaldo ila kwenye hua sijawahi kumuelewa na hua ananiangusha sana na anaelekea kustaafu na habadiliki,watu wanajaribu sana kumtetea kwa sababu mbali mbali lakini zote kwangu hazina mashiko kabisa bado inabaki kua ni tabia isiyofaa kwa wachezaji wenzie.

Tunajua mastriker wengi ni wabinafsi lakini haiwafanyi wenzao wanaposhinda magoli kutokwenda kushangilia nao.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Hata wewe sababu uliyo itoa kuhusu ronaldo kuwa mbinafsi haina mashiko vile vile
 
Vitu vingine ni ubishi usio na sababu na mahaba yanakusumbua sana.
Sasa kinachoangaliwa ni record za tournament moja moja au record za mashindano yote?

Kwa angle hii unayoweka ina maana kuna wachezaji wazuri kwa mashindano fulani tu,
Tutapata mchezaji bora UEFA tu.
Tutapata mchezaji bora epl
Tutapata mchezaji bora euro.
Tutapata mchezaji bora World Cup.

Hii sio namna nzuri ya kuweka statics za mchezaji..

Hivi ni wapi nilipobisha kuwa Ronaldo hajafanya hivyo zaidi ya mimi kukuuliza?
Hujui kuuliza na kutoa statement upo upo kama engine ya fuso..

Kwa mantiki unayodai basi tuseme Pele ni mchezaji bora sana kwa kuwa amechukua World Cup Mara nyingi kuliko wengine..
Na hata ukisema UEFA wachezaji wote wakubwa wanashiriki huoni kuwa muda wao wa kucheza unatofautiana?

Sasa mfano Harland na Ronaldo wanafanana? Hata Suarez pia hajaanza kucheza zamani kama Ronaldo lakini angalia record zake sasa..

Kichwa maji na hujui chochote..
Sasa wewe unayejua vyote ulishindwa vipi kujua Ronaldo anaongoza kwa assist uefa michuano mikubwa kabisa barani ulaya inayojumuisha vilabu bora na wachezaji bora unasemaje kuna tofauti ya muda wa kucheza wakati unapofanya vizuri unacheza zaidi
Mfano la liga Ronaldo ni mchezaji namba 4 kwa assist wa muda wote akiwa na assist 88 kwa misimu aliyocheza la liga na kwa nafasi anayocheza ulitaka awe na assist ngapi ili umuone sio mchoyo au unatamani magoli yake yote angeyafanya kuwa assist kwa wenzake na yeye abaki bila goli?
View attachment 2036061
 
Back
Top Bottom