Hili ni tatizo kubwa kwa wanandoa

Mmmhh na wao wanaume wanajifanya hawajui wajibu wao wa ndoa .......
 
nyie wanaume hamjawajua wanawake! nawaamben hapa ukiona kila sk mwanamke anatoavisingizio vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jua UNAMBOA KUNAKO MAJAMBOZI!

binafs bora nisisex kuliko kupakazana tu sperms! ukweli mchungu lakin ndo hvyo! hv nan anakAtaa utaamu?? yaan ukatae utamu wa dyudyu weee nan kasema?? ukiona hvyo jua humridhishi mkeo! JIPANGE
Hakuna asotaka utamu wanaume wanatuumiza na nyege bora asinifanye kuliko kuniacha njiani
 
Wacha mazoea ya kuomba, tendo la ndoa haliombwi!! Unaliandalia mazingira mazuri na mnajikuta mmelifanya!!

Mfano: kama anadai anachoka basi nunua mafuta ya masaji, mpunguzie wingi wa kazi zinazomchosha kwa sana kama zipo ndani ya uwezo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa bro mtu hataki kukwichkwich anaanzaje kukupa nafac ya kumuandaa? nnapokwambia mtu kachoka inamaana hataki kabisa usumbuf, ingekua yupo tayar kumfanya unavyotaka huyo yupo tayar kiongoz" Lakini ukimgusa tu unachezea take la huku ujue huyo yuko siliac kwl.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi wanawake wengine tunapika mnavimbiwa na vitambi mnaota, tunafanya yote, ikifika kitandani dakika 2 mmemaliza, afu mnakoroma mfyuuu

ngumu sana mwanamke kukoroma ndan ya dk 2!au huenda sijakuelewa
 
nyie wanaume hamjawajua wanawake! nawaamben hapa ukiona kila sk mwanamke anatoavisingizio vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jua UNAMBOA KUNAKO MAJAMBOZI!

binafs bora nisisex kuliko kupakazana tu sperms! ukweli mchungu lakin ndo hvyo! hv nan anakAtaa utaamu?? yaan ukatae utamu wa dyudyu weee nan kasema?? ukiona hvyo jua humridhishi mkeo! JIPANGE
Wenyewe wanasema shombo...
Mi mwenyewe kama ni hivyo bora niikose tu hiyo dudu...
Hamna kitu inakera kama mwanaume wa dakika mbili hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom