BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
- Thread starter
- #21
Kabla ya kuanzisha uhusiano mpya unahitaji kuwa huru,kujifungua toka kwenye mahusiano yaliyopita ,sasa Inaonyesha dhahiri bado uko kifungoni kwa mahusiano yaliyopita
Nimekuelewa mkuu Nyoka_mzee