wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
wakuu nimeokota hili jiwe jana jioni, linaweza kuwa nini!?
Jiwe la msingiwakuu nimeokota hili jiwe jana jioni, linaweza kuwa nini!? View attachment 846772
Mkuu natamani niku ZOMBE.wakuu nimeokota hili jiwe jana jioni, linaweza kuwa nini!? View attachment 846772
😃😃😃😃 kuna watu na viatu. Mkuu wewe ni kiatu, tena kiatu cha mgambo wa jiji, trust me.Jiwe la msingi
Hahahah kuna mtu anatafutwa aingizwe kwenye 18 yao…😃😃😃😃 kuna watu na viatu. Mkuu wewr ni kiatu, tena kiatu cha mgombo wa jiji, trust me.
😀😀😀😀
Hahahahaha....ngoja tuone mkuu.Hahahah kuna mtu anatafutwa aingizwe kwenye 18 yao…
Mtu mwenye njaa huwa anawaza hili jiwe lingegeuka mkate au bagia ningelifaidi kweli kweli vyuma vimekaza mpaka unadownload li picha la dhahabuwakuu nimeokota hili jiwe jana jioni, linaweza kuwa nini!? View attachment 846772