hii nchi kweli ya ajabu na ina watu wenye fikra za ajabu.
kwa hiyo kwenu nyie sisitimu kufanya kazi ni kulinda maslahi ya chama kimoja na mafisadi?
vyama vingine havichangii kodi ya kuendesha hivyo vitengo?
kwani akishinda mtu wa chama kingine imani itapotea au hawataweza kulinda hiyo amani?
ndio maana wananchi tunawachukia na ole wenu ccm tukishaitoa madarakani, mtarudi vijijini kulima viazi.
yaani badala ya kulinda amani ya nchi na mipaka yake wako busy kulinda wezi!!!
ndio maana nchi ina wahamiaji haramu wengi na wengine wamepewa vitambulisho vya kura na passport za tz.
Tatizo la kurecruit watu wenye IQ ndogo na kuwapa kazi nzito.
wanawaza matumbo yao tu
Mkuu napenda sana ujadili hoja hii bila jazba wala kuwa skewed kwa upande wa kisiasa!
Labda niseme kifupi tu...System haina maslahi juu ya chama flani bali Taifa!ndio kazi yake na ndio hukumu yake!
System itaitete accm kwa sababu flani!
System itaikuza Nccr kwa sababu flani
System itaibomoa Nccr kwa sababu flani
System itaiporomosha ccm na kuikuza chadema kwa sababu flani.
System itaendelea na kazi yake kwa sababu flani.
malengo ya system ni yale yale tu kuilinda Tanzania.
Yaani system ni kama Mungu...ataleta mafuriko kwa masikini wa kilosa na kuleta tsunami asia na kuipa baraka vatican!
Mwisho wa siku SYSTEM hutuvusha na sifa huchukua watu flani flani hivi!
System lazima ipate lawama tu kwani ndio kazi yake lakini mwisho wa siku system lazima ibakie kuwa system !
Confusing but thats the way it should be!