google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
......sijafanya utafiti rasmi lakini hata hospitali nyingi...wakizaliwa watoto 5 ....3 wanakuwa wanawake 2 wanaume.....can u extrapolate thatNi utafiti gani huo unaoonesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume. tena karibu mara tano?? na huo utafiti ulifanyika lini?
nimesema huo ni mtazamo wangu
Seriously??? Doctor????......sijafanya utafiti rasmi lakini hata hospitali nyingi...wakizaliwa watoto 5 ....3 wanakuwa wanawake 2 wanaume.....can u extrapolate that
.....sijaelewa unashanga nini...umesoma ukaelewa...?Seriously??? Doctor????
So kama kweli ratio ni 3:2 ndio ni mara 5? Au na wewe wajitoa ufahamu?
Ni kweli hili tatizo linatusumbua...na ni kweli unayotaja yanachangia ...pamoja na life style...especialy Uki-compare na maisha ya zamani: eg...unlike zamani...siku hizi mwanaume unaweza kukuta ana mtu jumatatu...jumanne ana ahadi na mtu mwingine....alhamisi tena...tena na mademu tofauti(including viduku)...sasa hizo nguvu za kuwaridhisha wote kila siku au after one day tunatowa wapi...? zamani ilikua kutongoza tabu ...hata kuona ndani tabu so once after 3 weeks or 4 weeks ...siku hizi kila siku.....jaribu kupiga angalau kwa wiki mbili mara moja uone kama nguvu hazijarudi..???!!! lakini pia kazi...kutokana na mfumo wa maisha siku hizi...na hivi tunavyo penda kutoka kimaisha haraka kazi zinakua nyingi, with stress amabao inatuaafect hata kisaikologia...so wakati mwingine mtu anaenda kufanya tu kwa vile ni mwanaume ...ana hamu kidogo na nini lakni sio kukamua ile yenyewe_ na kwenye kipindi kama hichi....kama mwanamke mwenyewe humpendi ndo bala zaidi...kama ana turnoff nyingi kwenye mapenzi ndo bala zaidi......................so apart from izo factors nyingine kwenye hili swala inabidi tuangalie sana LIFESTYLE zetu za maisha
Mtazamo wako ndio unaweka takwimu? Wanawake hawako hata mara moja na nusu ya wanaume achilia mbali mara mbili.
Acheni kujitia ujinga.
| Countries with more females than males. Countries with the same number of males and females (accounting that the ratio has 3 significant figures, i.e., 1.00 males to 1.00 females). Countries with more males than females. No data |
......sijafanya utafiti rasmi lakini hata hospitali nyingi...wakizaliwa watoto 5 ....3 wanakuwa wanawake 2 wanaume.....can u extrapolate that
Kutokana na wingi wa wanawake miaka 5 ijayo tutaanza tongozwa