Hili ni dili nimepata au ni utapeli?

Hili ni dili nimepata au ni utapeli?

Hahahahahaha bora umeleta humu ulikua unaumia sio kidogo sana
 
Nilishakutana na hii mambo mwaka juzi. Mimi walinipigia kabisa wakanieleza hivyo hivyo... Nikashtuka nilipomueleza mwenzangu akaniambia naye alipata simu Kama hiyo wiki iliyopita. Kaa mbali na hao watu matapeli
 
Nawe jifanye ni mtoto wa mjini,waambie hela sina kama vipi yeye akupatie hata nusu
 
Back
Top Bottom