Hili ni dili nimepata au ni utapeli?

Hili ni dili nimepata au ni utapeli?

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
1,676
Reaction score
1,061
upload_2017-12-12_0-51-35.png



sms.png
 
Tafadhali kaa nao pembeni hiyo msg inatembea kitambo utatiwa changa la macho
 
kwanza kabisa mwambie huwa hatuna hifadhi ya wanyama pori.
Mwambie tunazo Hifadhi za Taifa, Mamlaka ya uhifadhi Ngorongoro, WMA's, Game Reserves, Game controlled Areas, Open Areas na Wetlands.
sa yeye hiyo hifadhi ya wanyama pori kaitoa wapi
 
read between lines
Hata Dr Shika alitapeliwa akatuma USD 100 ikiwa ni insurance ya mabilion yake! Wiki ya ngapi wimbo ni ule ule! Juzi kashushuliwa na Vijana wa Temeke katika usiku wake! Matapeli wana mbinu za kitoto
 
Sasa huu utapeli nao ni wa kuja kuuliza huku? Isn't it obvious kwamba huo ni utapeli? Kwanza hakujui na humjui, kwanini asimpe ndugu yake yeyote hiyo deal?
 
Achana nao hao ni wapiga dili mkuu. Kuna mshikaji wangu nae ilimtokea hivyo kilicho fuata anakijua mwenyewe
 
Kuna jamaa aliyapeliwa hivyo hivyo...watakuambia utume pesa. Sijui mambo ya sample. Mambo ya huhonga watu. Yaan ni matapeli. Mwisho wa siku unajikuta umebaki na vinyago vyako na hela wamechukua. Achana nao.
 
Back
Top Bottom