Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 3,985
- 2,770
Wateule wameisha hadi DC akosekane Kibiti? Mbona Wapo kina Ngusa, tabasamu, Shonza, Ghasia? Wateuliwe waende Kibiti. Hapa Kazi tuu!Kukosekana kwa mkuu wa wilaya ambaye kimsingi ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya inaweza ikawa ndio sababu ya kuzorota kwa amani?Ila tuangalie upande wa pili, hawa wakuu wa wilaya wapo busy katika kurudisha nyuma na kuzoofisha upinzani.Kibiti ni janga na wa kulaumiwa ni serikali ya CCM.