PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,979
IMG-20250410-WA0026.jpg
Weka maoni Yako.

NB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
 

Na huu wizi wa je unaruhusiwa na Katiba?
 
Hili jeshi letu la Polisi sijui linaongozwa na watu wa aina gani? Sasa uhaini aliofanya Tundu Lissu uko wapi?

Kuhamasisha watu kuwa watazuia uchaguzi wa October 2025 ni uhaini? Kwani kuna uchaguzi ambao umezuiwa? Sasa huo uhaini wanautafsiri vipi? Ni kipi alichofanya? Amehamasisha mapinduzi kwenye mikitano aliyohutubia? Na huo uchaguzi usipofanyika kwa sababu nyingine itakuwa pia ni uhaini?

Hili jeshi la Polisi na ofisi ya DPP wana watendaji wa aina gani? Yani vijishtaka vya ajabu ajabu na posho za walipa kodi wanapewa kabisa.
 
Inasikitisha sana

Anyway, JPM alisingiziwa mabaya mengi 😎
 
Hapo kama wanataka kubalance mambo wampe na Mwenezi Kesi maana alitoa pia taarifa za uongo.Taarifa ya kutoa taharuki kwa kusema CDM wataleta MPOX &EBOLA.
 
Back
Top Bottom