Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Mwimbieni BWANA,nchi yaote,Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.Wahubirini mataifa habari za utukufu wake,Na watu wote habari za maajabu yake.
Kwakuwa BWANA ni mkuu mwenye kusifiwa sana Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote,Maana miungu ya watu si kitu;Lakini BWANA ndiye aliye zifanya mbingu.
Heshima na adhama ziko mbele zake,Nguvu na furaha zipo mahali pake.Ameni,
((( Mambo ya Nyakati 16:23-27 ))) Mbarikiwe sana watu wa MUNGU,siku za kuishi kwenu na ziongezeke katika uso wa Dunia.Ameni