tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
duh! hadi siti ni dhahabu?
Likija Bongo watu watalibeba juu juu na dereva wake ndani wakamtupe mwamepande
kama langu nalinunua naliweka tu ndani nalikata polepole naenda kuhuza kwa sonara,maana sa nitapita nalo wapi? Wee siogopi kufaaaaa!!!kwasababu barabara hakuna!
Du nafikiria engine kule kwenye combustion chamber na ile sifa ya dhahabu good conductor of heat na electricity -nadhani baada ya nusu kilometa itakuwa ujiuji!Unaambiwa kila kitu dhahabu except tyre na vioo unaambiwa hadi mafuta,siti,upepo wa tyre ni dhahabu vvs 24 carat.
Du nafikiria engine kule kwenye combustion chamber na ile sifa ya dhahabu good conductor of heat na electricity -nadhani baada ya nusu kilometa itakuwa ujiuji!
Yaani ile ukiingia lazima uwe full insulate la sivyo kifo cha umeme kinakuhusu(electrocuted)Mtoa mada ndio alivyosema kila kitu ni dhahabu kasoro tairi na vioo tu lakini vingine vyote ni dhahabu hadi engine,bolt etc
Mkuu hapo kwenye red ni ghali sana. HahahaaaaUnaambiwa kila kitu dhahabu except tyre na vioo unaambiwa hadi mafuta,siti,upepo wa tyre ni dhahabu vvs 24 carat.
Hahahaa... Kweli kufuru
\ukishazikwa nalo litakupa msaada gani huko kaburini?Nadhani hilo gari ukiwa nalo hata kufa hufi, ukifa unazikwa nalo.
Unaambiwa kila kitu dhahabu except tyre na vioo unaambiwa hadi mafuta,siti,upepo wa tyre ni dhahabu vvs 24 carat.