Wakitoa mkia na kichwa wala siulizi mara mbili najifanya kama vile sijamjua namshusha taratibu halafu nakauka kama sio mimi, BAAH kilumbwacho na Mulungu kumemena
kwa mara ya kwanza nilidhani wanaliwa na wale ndugu zetu wa samaki nchanga peke yao;
cha ajabu niliwakuta sumbawanga kijiji cha mpui wanauzwa kilabuni kama vile mishikaki aloooo ni watamu sana hawa wadudu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.