kweli hili nalo nenoMwanaume kwa mke wake ni simba, ila kwa hawara ni TEJA!!!!out::A S 13::A S 13::A S thumbs_down:
Mwanaume kwa mke wake ni simba, ila kwa hawara ni TEJA!!!!out::A S 13::A S 13::A S thumbs_down:
Wanaume wako tofauti sana wengine unajua kabisa ana nyumba ndogo ila akirudi home mdogo kama piriton, yaani hata masingi wamtia ukitaka,naona wanaangalia na mtu wa kumletea ukali, lol
yaani anicheat halafu awe mkali nani kasema!
ha ha ha ha ha.....kweli kabisaa......inauma aisee!
Kumtia m2 singi,ni ktendo cha ku2mia kiganja chako huku vdole vyako vikiwa vimenyooka na kukisukuma kichwa cha mtu.karibu sana uswazi ujfunze mengiSamahani haya MASINGI ndiyo madubwana gani haya?
Mwanaume kwa mke wake ni simba, ila kwa hawara ni TEJA!!!!out::A S 13::A S 13::A S thumbs_down:
Samahani haya MASINGI ndiyo madubwana gani haya?
Mwanaume kwa mke wake ni simba, ila kwa hawara ni TEJA!!!!out::A S 13::A S 13::A S thumbs_down: