Hili liwe funzo kwa wasanii wa Bongo

mshumbusi

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
457
232
Ni muda mrefu nilikua nafatilia siasa za Uganda ,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi
Uliacha figisu figisu anazo fanyiwa wapinzani na kukandamizwa upinzani . wanamuziki wa Uganda wamekua mbele nao kumtetea chama tawala moja kati ya hao ni huyu Dr josefuchamilion na bebe cool .Hawa kwa Uganda ni wasanii wakubwa na walio kuwa wakieshimika ila kwa sasa wamepoteza sifahiyo
Chamilion amefikia hatua ya kusema kama umpendi museven basi na usije kwenye maonesho yake ...
Mwanzo mwa wiki chama kikuu cha upinzani kiliitisha mgomo wakutosikiliza nyimbo yoyote ya chamilion na kutaka wafuasi wake kama wakisikia inapigwa kwenye tax (daladala za Uganda ) washuke na pili wafanya biashara wote

Sasa hapa kwetu kuna wasanii wanajifanya wanasiasa angalien yasije yakawakuta ya kina josee chamilion
1457883969555.jpg
 
Kwa hiyo na wewe unasubir Mbowe atangaze usisikilize nyimbo za Diamond. ?
 
Africa bado sana kufikia hiyo hatua na ndio maana wasanii hawana wasiwasi na wanachokifanya.........pamoja na Diamond luisapoti CCM mpk ss sijaona athari yyt kwake kutoka kwa washabiki wa CDM.
 
kisichoeleweka kila mtu ana mapenzi yake anayekuambia usisikilize ukienda kwake utakuta anasikiliza hawa wanasiasa huwa wanafiki muda wote
 
Sio bongo hapa wasuse kwenye vigodoro watapiga nini? Tunavyoependa kujirusha. Afterall tuko free hiyo hainaga ubishi.
 
Back
Top Bottom