Hili litakuwa tatizo gani?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Nina tatizo sijui litakuwa tatizo gani:

Kuna kitu Chini ya kifua changu karibu titi la upande wa kushoto kinacheza cheza mara nahisi kama kinavimba nikiwa na tembea sisikii chochote nikiwa nimesimama kunaanza kucheza cheza kinanipa wasiwasi sijui litakuwa tatizo gani
 
Labda chembe ya moyo
 
Nenda hospitali.
 
Nenda Ocean road, wakupime kama ni dalili ya breast cancer. Kama ni yenyewe wataiwahi wanaitoa.
Kama sio then watakuambia ni nini.
Achana na ma daktari wa JF
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…