utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
Niko nae, nimwamshe?
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe saiz sio asubuhi? hii hali ya hewa ya kibwege sana. Kwahiyo kesho ndo ile siku yetu pendwa, sio? Damn, I Hate Monday!!!
hahahahah keimamae walah!!!
Tatizo miss neddy hamtaki. na ubakaji haukubaliki kama ushoga Uganda.
Ingekua promo ungeona tu nimeacha contact. Take it from me ni kweli kabisaaa.
Yaa Man!
hahaahahahkuna siku nilitaka kusema
hivi hii misemo jf looh
Yap tangu kipindi hicoo nilipofanya hivo mambo yangu si haba. Wanna try this?
Asikujaribu wewe. Ntamnyonga.
sasa hivi ana li joka alikuaga ana kanyoka kadogo
hahahaaaaaaa nataka nikalione hilo joka mwenzio