Hili linawezekana!

Hili linawezekana!

Yani ndo umeamua kabisa kuweka hadharani namna hii? yani unamwelekeza mbwa msikitini mchana kweupe hivi?
hapana pale ni sehemu maarufu nilikuwa naendaga pale sharks nilikipua na project pale

alafu sikupendiiiiii
 
mmh nimeshiba hapa hata kunyanuka siwezi ungenia,bia tangu asubuhi

Hivi kumbe saiz sio asubuhi? hii hali ya hewa ya kibwege sana. Kwahiyo kesho ndo ile siku yetu pendwa, sio? Damn, I Hate Monday!!!
 
Back
Top Bottom