Hili linawezekana!.

Shedafa

JF-Expert Member
May 21, 2008
802
173
Katika jitihada za kupunguza na kuzuia ajali, napendekeza kila kwenye zebra cross kuwekewe traffic lights ambazo zitaongoza magari na waendao kwa miguu kwa zamu. Hii pia itasaidia kupunguza umuhimu wa kuweka matuta barabarani, kwani itamlazimu dereva kusimama kila anapoamriwa na taa na hii ni kisheria. Nasema hii inawezekana kwa kuwa traffic lights hazina gharama ya kutisha, pia majaribio ya traffic lights zinazotumia mwanga wa jua yamefanikiwa sana. Kwa hiyo umeme hautakuwa tatizo. Nawakilisha
 
Back
Top Bottom