Hili linaniacha hoi juu ya wanawake wa dar

Hili swali kama mzaha lakini mimi pia huniwazisha. Kuna shepu hazikuwepo mwanzoni mwa miaka ya 2000, sasa cjui binadamu bado tunabadilika maana si wanasema tulikuwa nyani! Bt kwanini wabadilike women tu?
Uvaaji wa aina ya nguo
 
Mkuu wananenepa na chipusi mayai hao.hata wanaume wanaokula machipusi si unaona walivyo na shape nyuma? Ndio maana vijana wa dsm wamejazia nyuma
 
Hili swali kama mzaha lakini mimi pia huniwazisha. Kuna shepu hazikuwepo mwanzoni mwa miaka ya 2000, sasa cjui binadamu bado tunabadilika maana si wanasema tulikuwa nyani! Bt kwanini wabadilike women tu?
Na wanaume pia wanabadilika...

Wanakuwa na makalio makubwa na matiti..

Chunguza utaona.

Mayai ya kuku wasioolewa ni noma..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu wananenepa na chipusi mayai hao.hata wanaume wanaokula machipusi si unaona walivyo na shape nyuma? Ndio maana vijana wa dsm wamejazia nyuma
we tulia tu huko kijijini kwako(mkoani kwako)...hakuna mwanaume anayenenepa nyuma kwa kula chips
 
Back
Top Bottom