Kunenepa kwa mwendokasiWatu tusinenepe........?.......viumbe mna hila nyie..........
DuhView attachment 379235[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Macho hayana paziaBaba una mambo wee kwa hiyo unakaaga kuchunguza shape za akina Dada mmhh!!
Kati ya hao chukua 25 wakuvulie nguo uone kufuru ya shetani. Kama ilikuwa hawajajalidia basi utakutana na mabonde bonde na michirizi ikiwa ni athari ya dawa za mchina. Kwa kifupi wengi wao ni feki.Sasa hiv ukitembea wanawake 28 kati ya 30 utakaokutana nao wanachura na hips vya uhakika na kuvutia
Iv kweli siku hizi robo tatu ya wadada wanazaliwa wanashape zao
Nilizoea kukutana na wadda aidha ana tako hana hips au ana hips ila hana tako ila sasa ni tofauti
Ni madawa au?
Mkuu unamaanisha wanaelekea kuwa tembo sasa kutoka kuwa kima?Hili swali kama mzaha lakini mimi pia huniwazisha. Kuna shepu hazikuwepo mwanzoni mwa miaka ya 2000, sasa cjui binadamu bado tunabadilika maana si wanasema tulikuwa nyani! Bt kwanini wabadilike women tu?
volkswagen bettle engine nyuma hiyogari ni engine
Naomba nione....Heee.... Kama tumezaliwa hivyo tujikate au??? Shepu kanipa mama. Situmii mchina wala mkorogo.. So sio wote fake...
wanaangalia soko linataka nini ndio wanaleta
kwa sasa soko linataka chura na hips
hapo nyuma ilikuwa soko linahitaji rangi ya mtume
soko litakapokuja kugeuka na kuhamia kichwani (akilini) ndio patakuwa patamuUnatabiri nn kuhusu soko lijalo litahitaji nn unfkr
Kua na adabu wee na majina ya mtume fisi maji wee unafikir kila kitu chakuandika andika tuwanaangalia soko linataka nini ndio wanaleta
kwa sasa soko linataka chura na hips
hapo nyuma ilikuwa soko linahitaji rangi ya mtume
Weee....et uone... Kuona huko vepe?? Sio kila kitu unaona tuu wanawake wenye staha bado wapo.... Af wanaume wa mwendo kasi wambea kweli...Naomba nione....