Hili linakuwaje?

Shetan kazini tu hapo hakuna namna.

Na shetani amejikita zaid kwa wazungu
 
Hakuna jipya chini ya jua, haya yote yalikuwepo kipindi cha Sodoma na Gomola. Hivyo njia nzuri ni kuyachukulia poa tu, maana hatuna uwezo wa kuyazuwia yaliyotabiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…