Hili linakera katika swala zima la ajira

Hili linakera katika swala zima la ajira

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
188
Huku jamii forum imekuwa ni fashion watu kupost nafasi za ajira halafu ukimtafuta anakwambia kuwa atakutafuta na baada ya hapo hakutafuti wala hakupi further details.Hili sio jambo jema hata kidogo na tuache please..kama haupo serious na tangazo bora usipost kabisa.
 
Back
Top Bottom