naona maisha ya kijamii yakiporomoka kwa kasi hapo tanzania hasa dar es salaam, inachangiiwa na hu ulimbukeni wa mitandao, ulio intergrated kwenye umaskini, ni tatizo coz utakuta sasa vijana wa kiume wanatanguliza hela mbele na material things unnecessarily kuliko hata natural love mwishoe ni kuishi maisha fake kushidwa kuweka akili chini na kutegeneza base za maisha kijana anafanya kazi badala a kutenenez base ya maisha, carrier na maendele anafiiria kuhonga mademu...na at the end of the day inazaliwa jamii ambayo watu wapo UNHAPPY AND UNSATISFIED, vijana waliofell in many aspects, half backed men....mfano unaona hata kwa wasanii..wameendekeza maisha ya kuhongana lkn hakuna hata mmoja mwenye maisha yaliyotulia yanayoeleweka...angalia wema, kajala, peny, anti, shilole lulu nk...ni watu wanaosikitisha wamefeli kijamii kwasababu ya kutegemea maisha ya kuhogwaa na kushidwa kuweka base ya maisha halisi socially and economically...
ila hapa kunielwa ni kazi maana kunabadhi ya vijamaa hapa vinafundishwa namna na kuhonga na kubuy ideas...ndo jamii ya vijana wakitanzania inayozalishwa