Hili lina ukweli asilimia 100% kuhusu wanawake

Hili lina ukweli asilimia 100% kuhusu wanawake

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Wanaume wenzangu acheni ujinga wenu, hebu tulijadili hili pamoja na wanawake wa humu, kwamba Hakuna mwanamke asiyetaka kuhongwa.Nimelitoa katika blog ya ulimwengu wa vijana.

Acheni ujinga kabisa aisee, ukitaka msichana wa peke yako basi jua kugharamia. Nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume wa i love u maneno.Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy please ukiweka nicheki" umekwisha.

Anakueleza shida zake unasema "mpenzi vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeishaaa kabisa. Huna chako ujue ulivyokata simu umefatiwa na bonge la msonyo ka sio tusi la nguoni basi la mwilini. Yani wewe kama ni wale wa baby Mwezi huu mambo yangu hayako sawa, nakuapia unagongewa mpaka ujute

Unamuona msichana wako kasuka, kapendeza na hana kazi, we umekazana tu "beibi umependeza" .Yaani wee boya ujue mume mwenzio kaweka nguvu, so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana, service inakua kwa anayehudumia.

Hakuna msichana wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda jumapili mpaka jumapili we mhonge tu uone heshima.

naona maisha ya kijamii yakiporomoka kwa kasi hapo tanzania hasa dar es salaam, inachangiiwa na hu ulimbukeni wa mitandao, ulio intergrated kwenye umaskini, ni tatizo coz utakuta sasa vijana wa kiume wanatanguliza hela mbele na material things unnecessarily kuliko hata natural love mwishoe ni kuishi maisha fake kushidwa kuweka akili chini na kutegeneza base za maisha kijana anafanya kazi badala a kutenenez base ya maisha, carrier na maendele anafiiria kuhonga mademu...na at the end of the day inazaliwa jamii ambayo watu wapo UNHAPPY AND UNSATISFIED, vijana waliofell in many aspects, half backed men....mfano unaona hata kwa wasanii..wameendekeza maisha ya kuhongana lkn hakuna hata mmoja mwenye maisha yaliyotulia yanayoeleweka...angalia wema, kajala, peny, anti, shilole lulu nk...ni watu wanaosikitisha wamefeli kijamii kwasababu ya kutegemea maisha ya kuhogwaa na kushidwa kuweka base ya maisha halisi socially and economically...

ila hapa kunielwa ni kazi maana kunabadhi ya vijamaa hapa vinafundishwa namna na kuhonga na kubuy ideas...ndo jamii ya vijana wakitanzania inayozalishwa
 
Humu Kila story inayo mhusu mwanamke, inamchukulia mwanamke kama kiumbe dhaifu kila kona, swala hapa ni personality ya mtu, this is a life nothing can be quarantead one huntded percent, kuna watu wamezaliwa na uelekeo wa uovu tu hata ukifanya lipi jema habadiliki kamwe, mfano kuna wanawake wanateswa sana na wanaume zao au washikaji zao mpaka unamwonea huruma lakini bado anajipa moyo ona day atabadilika, (japo baadaye mtu ndo anakujaga kujuta sana that person real loves me baada ya kuachwa )na kuna wanawake hata akiwa na kosa ukimgombeza tu kidogo yamekuwa mengine, na kuna wanaume wanawapenda wapenzi wao mpaka yoko tayali kufanya chochote hata kufa kwa ajili yake sasa cha ajabu mwenzake ni visa vituko mtindo mmoja
 
Wapo wanawake wa kila aina na tabia jua fungu lako tafuta wa kuendana naye sukuma life!!

Ujiinga ni hii dhana kiwa wanawaaake woote wana hulka sawa
 
Tatizo watu wengi wanachukulia vitu kiujumla jumla sana siku hizi, na kujiona yale waliokutana nayo WAO ndio jinsi mambo yalivyo. Kukishakuwa na jamii lazima hali zote ziwepo. Wawepo wa ukweli, wawepo wa uwongo n.k nk. Na hio ndio jamii. Ila kuisemea jamii kuwa kitu fulani hakuna kutokana na uzoefu wako haileti maana.
 
naona maisha ya kijamii yakiporomoka kwa kasi hapo tanzania hasa dar es salaam, inachangiiwa na hu ulimbukeni wa mitandao, ulio intergrated kwenye umaskini, ni tatizo coz utakuta sasa vijana wa kiume wanatanguliza hela mbele na material things unnecessarily kuliko hata natural love mwishoe ni kuishi maisha fake kushidwa kuweka akili chini na kutegeneza base za maisha kijana anafanya kazi badala a kutenenez base ya maisha, carrier na maendele anafiiria kuhonga mademu...na at the end of the day inazaliwa jamii ambayo watu wapo UNHAPPY AND UNSATISFIED, vijana waliofell in many aspects, half backed men....mfano unaona hata kwa wasanii..wameendekeza maisha ya kuhongana lkn hakuna hata mmoja mwenye maisha yaliyotulia yanayoeleweka...angalia wema, kajala, peny, anti, shilole lulu nk...ni watu wanaosikitisha wamefeli kijamii kwasababu ya kutegemea maisha ya kuhogwaa na kushidwa kuweka base ya maisha halisi socially and economically...

ila hapa kunielwa ni kazi maana kunabadhi ya vijamaa hapa vinafundishwa namna na kuhonga na kubuy ideas...ndo jamii ya vijana wakitanzania inayozalishwa

Kuna mwanafalsafa mmoja huwa napenda kusoma vitabu vyake,vijana tunashindwa kujitambua,naomba mpitie hii falsafa moja ya maisha.
 
Attachments

  • 1421651262975.jpg
    1421651262975.jpg
    64.9 KB · Views: 703
We mleta mada nawewe unaunga mkono ila ukijua utapata unachokitaka..shame.. Ni muhimu ila sio lazima.. Halafu sio wote wapo hivyo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Suluhisho ni kwa wanaume wote tuweke mgomo wa kutoa kirahisi hela kwa wanawake, tuone itakuwaje!
 
Ipo poa 2 coz yeye anagonga&mimi pia nagonga icpokua yy anagharama nying mm chache.
 
Hakuna rushwa kubwa kama hii ya kuhongana iwe mwanaume au mwanamke.
 
to low for you kuleta upuuzi kama huu hapa,wanaume gani umeona wana ujinga huo humo kama si wewe

Unapopishana mawazo na mtu jifunze kuwa huo ndio ubinadamu, haiwezekani watu wote wawe ma mawazo sawa, na kama hukubaliani na member mwenzako tumia lugha nzuri kureplay, nahisi wewe hapa Jf ni mgeni nakuona sana vimajibu vyako
 
Hakuna rushwa kubwa kama hii ya kuhongana iwe mwanaume au mwanamke.

Mwanaume akinipa pesa au msaada huwa nakosa amani sana, kila nitakachofanya ili kumuonesha mapenzi huwa nawaza anaweza fikiri kwa sababu alinisaidia ndio maana nafanya hivyo.

Nitakuwa nina amani kama tutakuwa tumeoana au tunaelekea kuoana, hivi hivi siwezi hadi muda mwingine najiona mshamba
 
Back
Top Bottom