Hili limewahi kukutokea?

Hili limewahi kukutokea?

Wakuu Hili limekaaje??

Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda

Kuliko mume wako!

Ama

Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako?

Hii kitaalam imekaaje?
Wewe bado una akili za kitoto mno. Unasema kabisa anakupenda kuliko mume wako? Kipimo cha upendo wake unapima na nini? Nyinyi ndiyo mnagawa kama pipi mkidhani mnapendwa kumbe mnagezwa maabara ya kufanyia majaribio. Mtu akija na tamaa zake za ngono na ameshajua wewe ni mke wa tu, hawajibiki kwako kimatumizi, wewe unakenua meno kuwa umepata akupendae kuliko mumeo.
 
Wakuu Hili limekaaje??

Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda kuliko mume wako!

Ama

Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako?

Hii kitaalam imekaaje?

Inaitwa uliwahi kuoa au kuolewa...
 
Wakuu Hili limekaaje??

Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda kuliko mume wako!

Ama

Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako?

Hii kitaalam imekaaje?
Mtego hutegwa bure mbele ya ndege awaye wote.
 
Sasa Mkuu Fakyuol si umetuambia *** yall..
Na kweli.mkuu ubongo wangu unashida sana..
Nahitaji Kusaidiwa..[emoji3][emoji3]
I'm only responsible for what I say
not for what you understand bro!!!

Ilaumu akil yako mbov for poor interpretation
 
Back
Top Bottom