Imekula kwake.
hizi habar za kugandana
me sizipendi kweli napenda niishi
alone raha mstarehe nikimiss dudu
nikufuate sio habar za kuhamia kwa
mshikaji haiji kabisaaa
Nimependa uandishi wako uko kishkaji sana ndugu niko na imagine hapa huyo bidada anaejilewa kama alikuta timbwili ilikuaje
Hahahahaaaa. MankaM uandishi ni art tu but for somehow ni kaelement flani ka kujiamini si unajua tena ukiandika kiboya boya wadau wanavyokushambulia hapa!Hahaha MankaM hata mm nilkua nasubir amalizie
Na ndio ameshaharibu. kwasasa itabaki story tu. kiukweli simuhitaji tena.Imekula kwake.
ok. thanks kwa kuelewa na kama ulikua na hako katabia ni heri uache.
Haya umesikika
kama ulikuepo MankaM.haswaaaaa alikuwa anatingisha kiberiti imekula kwake mazima
hizi habar za kugandana
me sizipendi kweli napenda niishi
alone raha mstarehe nikimiss dudu
nikufuate sio habar za kuhamia kwa
mshikaji haiji kabisaaa
Jaman mankaM, kumis dudu haaaa
Hahahahaaaa. MankaM uandishi ni art tu but for somehow ni kaelement flani ka kujiamini si unajua tena ukiandika kiboya boya wadau wanavyokushambulia hapa!
:focus:
baada ya hapo alijidai kununa but alitoka, kabla wa ukweli hajafika.
Na ndio ameshaharibu. kwasasa itabaki story tu. kiukweli simuhitaji tena.
ok. thanks kwa kuelewa na kama ulikua na hako katabia ni heri uache.
kama ulikuepo MankaM.
Hahahahahahaaaa. wazidi isuuza roho yangu wallah!
Malizia basi huyo mwingine alikuja akamkuta or???
ha ha ha haya mama!hizi habar za kugandaname sizipendi kweli napenda niishialone raha mstarehe nikimiss dudunikufuate sio habar za kuhamia kwamshikaji haiji kabisaaa
hakumkuta mamaafacebook. nakumbuka kabla sijamwambia hivyo alishaandaa lundo la maCD eti anataka kuzichek! khaa! nikaona huyu ataniharibia afu akaenjoy na me wake. mi nikapasuka, akajifanya kununa but akatoka kabla chibebi hakija timba.
hizi habar za kugandana
me sizipendi kweli napenda niishi
alone raha mstarehe nikimiss dudu
nikufuate sio habar za kuhamia kwa
mshikaji haiji kabisaaa
Kweli sikufahamu, sio wewe bana