Hili limekaaje kwa Kigwangala, Ummy na wataalam wa wizara ya afya.

accused

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
2,496
2,745
Leo hii Mh. kigwangala ameifunga mortuary ya hospital ya rufaa Tumbi kwa kua na miundombinu mibovu ikiwamo ya majokofu ya kuhifadhia maiti.

Siku si nyingi Mh. Kigwangala alipita pia hospitali ya Ilembula iliyopo mkoa wa Njombe inayomilikiwa na kanisa la kilutheri. Mortuary ya hospitali hii ipo getini kabisa kiasi kwamba mgonjwa au mtu yoyote anapofika eneo lile mapokezi ni chumba cha kuhifadhia maiti. Kigwangala aliondoka pale bila kusema chchte juu ya hili. Sasa nabaki najiuliza, kwa ninyi wataalamu wa mambo haya pamoja na waziri, Je ni sahihi chumba cha kuhifadhia maiti kikajengwa geti kuu la kuingilia kama pale Ilembula???
 
Mimi sioni tatizo mortuary kuwa karibu na geti mbona wengine wanazikwa kando ya barabara
 
Tatizo linakuja hivi, inakuaje unapopelekwa hospital ukiwa hoi na ukifika getini tu mwa hospital unakuta kundi kubwa la watu wanaolia na gari zinapakia Maiti. Hope ktk hali ya kibinadamu inaongeza hofu mkuu
 
Back
Top Bottom