GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,750
- 109,223
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kenyatta huko nchini Kenya umetengua Shahada ya Uzamivu ( PhD / Doctorate ) ya Mmoja ya Wahadhiri wake ( jina Kapuni ) kwa kuwa kumbe andiko lake la Kiutafiti ( Thesis ) ilikuwa na ‘ Udanganyifu ‘ wenyewe mnaita ‘ Plagiarism ‘ hivyo Kuonekana kuwa hana Hadhi ya kuwa Mhadhiri.
Japo tayari alikuwa ameshakuwa ni Mhadhiri hapo Chuoni na alishahitimu kwa kuitwa Msomi wa PhD lakini Shukran nyingi zimwendee ‘Supervisor ‘ wake Raia wa nchini Nigeria ambapo kuna Siku alikuwa anapitia taarifa za hicho Chuo na Kumuona huyo Mhadhiri ambapo alishangaa sana kwani alikuwa bado anatakiwa ‘ Kurekebisha ‘ hiyo ‘ Thesis ‘ yake kama alivyomuagiza ila huyo Mhadhiri alitumia ‘ Ujanja Ujanja ‘ hadi akahitimu huko Kenyatta University na kuwa Mhadhiri wakati hakuwa bado amekidhi Vigezo.
Hili ni la nchini Kenya ila Mimi An Eagle nina uhakika tena wa 100% kuwa kama na hili likifanyika hapa Tanzania ( hasa kile Chuo cha Mwenge Ubungo University ) hasa tukisema tuwatafute ‘ Supervisors ‘ wa Wahadhiri wao hapo wenye ‘ Doctorates ‘ wengi wao wataonekana kuwa hawana Vigezo vya kuwa Wahadhiri na walihitimu tu ‘ Kimagumashi / Kisamjosamjo ‘ kwani hata huku Mitaani japo wana ‘ PhD’s ‘ zao tukikutana nao huwa ni ‘ Watupu ‘ mno Vichwani.
Kwa ‘ Utafiti ‘ wangu mdogo tu kama kuna Vyuo vikuu ambavyo nikiambiwa kuwa nivitaje na kwamba Wahadhiri wake ni Wasomi wa kweli na ‘ Doctorates ‘ zao walizihangaikia na walistahili kuwa nazo kwani hata Utendaji wao ( Ufundishaji ) wao huko Vyuoni ni mzuri na wenye ‘ Ufanisi ‘ basi ni Vyuo kama vya SAUT Mwanza, Mzumbe University na Tumaini University ila kile Chuo cha Mwenge Ubungo kwa sasa kina Wahadhiri ‘ Vihiyo ‘ wengi kama huyo aliyeng’anywa / aliyepokwa ‘ PhD ‘ yake.
Chanzo Taarifa: Gazeti la Daily Nation la nchini Kenya.