Hili la watumish kulipishwa hela ya Mwenge pamoja na makato yote haya imekaaje hii?

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Kuna baadhi ya halmashauri zina waamuru wakuu wa idara kusimamia watumishi walio chini yao kulipa pesa ya Mwenge Tsh 1000 - 5000 tena kwa vitisho vikali wakati huo watumish hao wanakatwa kodi lukuki kwenye mishahara yao.

Je wizara ya ajira na kazi pamoja na utumishi mmelibariki hili liendelee kubebwa na watumishi pia?mbona Tanzania watumishi wana nyanyaswa hivi?
 
Wanatoa risiti za EFD?
Kama hilo halikutokea uchangiaji wa Madawati kwa nini iwe kwa Mwenge? Ifikie wakati mwajiliwa aelewe haki zake. Mwenge wa 2018 siyo wa kulazimishana. Ukiona hivyo ujue hilo ni dili la viongozi wa Wilaya.
 
Nakumbuka halmashauri ya Ngudu mwaka juzi tulinyooshwa yaani sina hamu tukakalishwa mpaka usiku wa saa tisa ila yote heri
 
Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nchi Ya Viwanda Tanzania

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
 
Back
Top Bottom