Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,471
- 3,319
Hahaaa mkuu umekua muungwana sana. Ila wenzako watakukataa maana unawachomeshaNa bodaboda na sisi tunaka mitiahani yetu.
Wanafunzi ni wengi zaidi ya walimu ila huwa wanapewa mitihani na hakuna urasimu wala rushwa.Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa.
Walimu mpiganie maslahi yenu wenyewe, msitarajie muajiri wenu atajikumbusha haki zenu.Ameshindwa kupigania maslahi ya walimu na mazingira yao duni ya kazi,anaongea upupu. Eti profesa
haina haja 🐒Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema.
Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira.
Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa.
Hivi mtu kama profesa kweli anaweza akaja na wazo hilo?
Ameshindwa kupigania maslahi ya walimu na mazingira yao duni ya kazi,anaongea upupu. Eti profesa
IFIKIE MAHALI HATA HAO MAWAZIRI WAPEWE MITIHANI ITOKANAYO NA SERA ZA WIZARA LENGWA.
Hilo litaacha wasisumbue watu na matamko yao ya hovyo
Mkuu maisha yetu yenyewe ni mtihani toshaNa bodaboda na sisi tunaka mitiahani yetu.
Well said! hata wakiwa wameshachaguliwa mawaziri wapewe mitihani ya kuwapima kama bado wana ueledi walioajiliwa nao. Hata Walimu wa vyuo vikuu, wapewe mitihani ya masomo wanayofundisha yao kuona kama bado wako kwenye required standards za kuwafundisha wanafunzi! Siyo wanawasukumia wengine mitihaniWanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema.
Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira.
Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa.
Hivi mtu kama profesa kweli anaweza akaja na wazo hilo?
Ukifuatilia utendaji wa mawaziri unasikitika kilasiku nimatamko. Ninashindwa kuelewa kama nchi kweli watu wote wamechoka kiasi hicho? Elimu hamna kitu maziro kibao. Huko afya NHIF nikichefuchefu eti afya za watu zinawekwa rehani sasa angalia hao mawaziri hawana hata habari. Nenda nishati nimgao wa umeme usiokoma. Sukari imekua adimu kuliko hata shanga na sindano. Magufuli alisema huwezi ficha sukari kama sindano. Imekua kinyume chake.
Huyo waziri wa fedha matamko yake ndio mabovu kuwahi kutokea. Eti maisha sio magumu maana kuna pleti namba E kibao. Eti waziri ndio amemaliza kujenga hoja.
Ukienda ujenzi eti waziri juzi kati anamwambia mkandarasi TANROAD daraja lipitike ndani ya masaa matatu. Unajiuliza anajua masaa matatu yana dakika ngapi? Anajua na kuona uzito wa daraja analozungumzia. Mawaziri wa matamko
Mkendwa ameshindwa kupigania maslahi ya walimu na mazingira yao duni ya kazi,anaongea upupu. Eti nae ni profesa. Hebu waachwe wafundishwe na wasimamiwe sio kwamba kua profesa ndio kuweza kufanya maamuzi
IFIKIE MAHALI HATA HAO MAWAZIRI WAPEWE MITIHANI ITOKANAYO NA SERA ZA WIZARA LENGWA.
Hilo litaacha wasisumbue watu na matamko yao ya hovyo
Hapo akili zitawakaa sawa. Watapunguza matamkoWell said! hata wakiwa wameshachaguliwa mawaziri wapewe mitihani ya kuwapima kama bado wana ueledi walioajiliwa nao. Hata Walimu wa vyuo vikuu, wapewe mitihani ya masomo wanayofundisha yao kuona kama bado wako kwenye required standards za kuwafundisha wanafunzi! Siyo wanawasukumia wengine mitihani
Kwani uwaziri hutokana na ajira ipi?Well said! hata wakiwa wameshachaguliwa mawaziri wapewe mitihani ya kuwapima kama bado wana ueledi walioajiliwa nao. Hata Walimu wa vyuo vikuu, wapewe mitihani ya masomo wanayofundisha yao kuona kama bado wako kwenye required standards za kuwafundisha wanafunzi! Siyo wanawasukumia wengine mitihani
Mtihani huo hauna majibuMkuu maisha yetu yenyewe ni mtihani tosha
Kwani nidhambi kumpima mtu alieteuliwa?Uwaziri sio ajira mlamu, ni uteuzi.
whatever, as long as you are serving the people who need intellectuality among the people serving themKwani uwaziri hutokana na ajira ipi?
Ndio umemaanisha nini? Hebu tutafsiriewhatever, as long as you are serving the people who need intellectuality among the people serving them