Faru Juma
Member
- Mar 11, 2018
- 31
- 25
Utakuta kidume umemvizia dem miaka miwili lakini umeishia kumla kwa macho tu sabab ya uzuri wake na udomo zege pia
.
Sasa inakuja kutokea siku mtu umejikaza yan ile umemtongoza tu na siku hiyo hiyo anakutunuku papuchi.
Kiukweli jambo hili linakera sana,haiwezekan mi nmejizuia miaka miwili bila kufungua mdomo halafu wewe kirahis rahis tu unanikubalia.Hivi mnajuaga ni kias gan tunaumia roho kwa kuchelewa kuchangamkia fursa??
Nawasilisha hoja ......
.Sasa inakuja kutokea siku mtu umejikaza yan ile umemtongoza tu na siku hiyo hiyo anakutunuku papuchi.