love you
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 727
- 728
Rizika na uliye msagia soli miaka miwiliAsante. Ila nawe nakutaman hatari
Rizika na uliye msagia soli miaka miwiliAsante. Ila nawe nakutaman hatari
😂😂😂 na dege letu limekuja bas sie kuunga tu juhudi za RaisMane kashatia timu kitambo tena fasta tu
Si unajua tena wapenda maendeleo hua hawapingi juhudi.
Nakuomba na wewe nianze zoezi la miaka miwili ijayoRizika na uliye msagia soli miaka miwili
Mkuu inaonekana unafuraha kama zote ukaona isiwe case uje kututambia uku 😁
Hongera sana kumpata..usi-hit na ku-run sasa