Hili la police ni la kweli sio uongo

Hili la police ni la kweli sio uongo

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2,547
Reaction score
874
Majeshi yaliyokwenda kufanya operation wahamiaji hatamu hawajalipwa posho yoyote serikali mnatakaje au ndio rushwa mnahalalisha wahamiaji haramu watoe rushwa kuwapa police wetu kesho mseme hawakufanya kazi? Mazingira ya kazi ni magumu wanalala kwa tabu kwani nao ni wakimbizi au hatuelewi tafadhali popote ulipo igp mwema mateso sio kazi usalama wa taifa mpo hiko mbona taarifa hazifanyiwi kazi hao police wana hali ngumu sana.
 
Mh!umekuwa msemaji wao?uli ufanikiwe zaidi kwa nini usimtumie sms IGP ?
 
kwani hao maaskari si wanalipwa mishahara pamoja na lesheni kila mwezi sasa wanataka posho za kazi gani tena.
 
Wewe ukitoka kituo chako cha kazi kwenda mkoa mwingine hulipwi posho
kwani hao maaskari si wanalipwa mishahara pamoja na lesheni kila mwezi sasa wanataka posho za kazi gani tena.
 
Wewe kwani ndio msemaji mkuu wa jeshi la polisi nyinyi watu mbona mnapenda sana kuingilia kazi zawatu kwanza huu muda umetakiwa uwepo shule unafanya nini hapo tandale kazi yako kupost upuuzi mtupo humu kuna polis kibao mbona hawaja post hii mada ndio kukosa kazi huko kukaa kwenye vijiwe mkatunga udaku na kunywa kahawa za shilling mia
 
Majeshi yaliyokwenda kufanya operation wahamiaji hatamu hawajalipwa posho yoyote serikali mnatakaje au ndio rushwa mnahalalisha wahamiaji haramu watoe rushwa kuwapa police wetu kesho mseme hawakufanya kazi? Mazingira ya kazi ni magumu wanalala kwa tabu kwani nao ni wakimbizi au hatuelewi tafadhali popote ulipo igp mwema mateso sio kazi usalama wa taifa mpo hiko mbona taarifa hazifanyiwi kazi hao police wana hali ngumu sana.[/QUOTE

Nini kigeni, au wasichokijua hao polisi? wamepelekwa bila malipo lakini wanauwezo wa kutafuta malipo.... waambie rushwa ruksaaaaa ila wakishikwa simoooooooo kula mezani pako kwa urefu wa kamba yako hii ndio TZ bana....
 
Majeshi yaliyokwenda kufanya operation wahamiaji hatamu hawajalipwa posho yoyote serikali mnatakaje au ndio rushwa mnahalalisha wahamiaji haramu watoe rushwa kuwapa police wetu kesho mseme hawakufanya kazi? Mazingira ya kazi ni magumu wanalala kwa tabu kwani nao ni wakimbizi au hatuelewi tafadhali popote ulipo igp mwema mateso sio kazi usalama wa taifa mpo hiko mbona taarifa hazifanyiwi kazi hao police wana hali ngumu sana.

Pole Mike,Ingiza uzalendo basi si unajua kazi zetu ni za wito.
 
Haya mambo ya kutii amri malalamiko baadae ipo siku risasi zitabadilishwa uelekeo.hawa jamaa wananyonywa sana na hawana pakusemea.
 
Poleni msikate tamaa hakikisheni na wakenya haramu wanaondoka
 
Nasikitika uchangiaji wa wahuni himu kuhusu hii post ingekuja inasema police amekamatwa na rushwa au bangi tungeona mnavyojua kusema ila wakifikia kwenye haki zao mnawadharau kweli tuendako nchi haitawaliki pore wtz
 
Nasikitika uchangiaji wa
wahuni himu kuhusu hii post ingekuja inasema police amekamatwa na rushwa
au bangi tungeona mnavyojua kusema ila wakifikia kwenye haki zao
mnawadharau kweli tuendako nchi haitawaliki pore wtz

umenena vyema bro,lakini kumbuka kazi ya polisi ni ya wito.
 
Wache wakufe na njaa huko ndio wakome kimbele mbele chao kupiga raia bila hatia
 
na nyie mkome tabia ya kuwafukuza watu waliooa au kuolewa hapa tz tena na kuna wengine wamezaliwa hapa miaka nenda rudi hawajawai kanyaga uko rwanda au congo mnawafukuza!!! si kila mwenye ethnic connection na wanyarwanda ni mnyarwanda!!! though per diem zenu mlipwe!!!
 
majeshi yaliyokwenda kufanya operation wahamiaji hatamu hawajalipwa posho yoyote serikali mnatakaje au ndio rushwa mnahalalisha wahamiaji haramu watoe rushwa kuwapa police wetu kesho mseme hawakufanya kazi? Mazingira ya kazi ni magumu wanalala kwa tabu kwani nao ni wakimbizi au hatuelewi tafadhali popote ulipo igp mwema mateso sio kazi usalama wa taifa mpo hiko mbona taarifa hazifanyiwi kazi hao police wana hali ngumu sana.

unaongea kama umepandikizwa ili upunguze kasi ya operation, wewe na waliokutuma hamtafanikiwa. Toka lini majeshi yanatanguliziwa malipo kwenda vitani?
wewe ukitoka kituo chako cha kazi kwenda mkoa mwingine hulipwi posho
utendaji kazi wa hao jamaa si sawa na wako, amabapo unatafikia hoteli ukisafiri kikazi, wanaume hao wanafikia kambini, chakula na malazi kinatolewa. Majukumu yenyewe masaa 24.
 
Back
Top Bottom