Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Hizo ni press release, tunachokijua ni kuwa Acacia kupitia mkuu wao waliahidi kukutana na serikali. Naona wewe unaendeleza siasa kwenye masuala ya msingi. Usizungushe mikono,tulia.Mnaenda kwenye majadiliano yapi na nani..??
Mleta uzi unafahamu kweli kinachoendelea kwenye hii kesi ya ACACIA na serikali??
ACACIA wameshasema baada ya kupelekewa credit note na TRA kuwa hawalitambui deni and so hawalipi.
Sasa mnaenda kujadiliana na nani Mkuu..??
Fatilia taarifa zipo hapa thread za jana.
Hahahahaahhahahhahahaha..Hizo ni press release, tunachokijua ni kuwa Acacia kupitia mkuu wao waliahidi kukutana na serikali. Naona wewe unaendeleza siasa kwenye masuala ya msingi. Usizungushe mikono,tulia.
Kwa sababu wamezungumza kiingereza wewe umeogopa sana. Pole, haya nenda kwenye thread ya saizi yako sasa News Alert: - ARUSHA: Diwani mwingine wa CHADEMA kata ya Moita jimbo la Monduli amejiuzuluHahahahaahhahahhahahaha..
Wala usibadilike Mkuu... Endelea kuwa ivyo ivyo kama jiwe kwa haya matumaini yenu ya kulipwa hayo Matrilioni hewa..
Dunia nzima toka jana inawacheka.
Ni wakati wa kuwaambia waziwazi mkuu.Huwajui wezi wewe!Hawana tone la aibu
Kama ndivyo,kwa nini mmewapelekea bill kabla ya mazungumzo?,tulizeni mishono hao wenzenu vichwa hawafugii nywele.Hizo ni press release, tunachokijua ni kuwa Acacia kupitia mkuu wao waliahidi kukutana na serikali. Naona wewe unaendeleza siasa kwenye masuala ya msingi. Usizungushe mikono,tulia.
Aisee kumbe ukitokwaga na povu unakuwa kituko cha karne...Kwa sababu wamezungumza kiingereza wewe umeogopa sana. Pole, haya nenda kwenye thread ya saizi yako sasa News Alert: - ARUSHA: Diwani mwingine wa CHADEMA kata ya Moita jimbo la Monduli amejiuzulu
Kweli adui wa maendeleo ya Tanzania ni Mtanzania.....kwa sababu Raisi anaongoza mapampano tunategemea kabisa tutakuwa na vibaraka wa wakoloni katikati yetu, tutawashinda.Kama ndivyo,kwa nini mmewapelekea bill kabla ya mazungumzo?,tulizeni mishono hao wenzenu vichwa hawafugii nywele.
Dah hii ni Ukawa,ukiwa!Usiwapangie watu kazi za kufanya.Wewe mbona hakuna aliyekwambia usifanye kazi hapo Lumumba licha ya malipo kiduchu ya buku saba?
Ha ha ha kijana, kweli nchi hii CCM itawale tu milele kwani hatuna vyama mbadala bali tuna vibaraka.Aisee kumbe ukitokwaga na povu unakuwa kituko cha karne...
Endelea kusubiri Matrilioni hewa.
Kwani ile notice iliishia wapi ya kwenda london kwenye mahakama ya usuluhishi??Mnaenda kwenye majadiliano yapi na nani..??
Mleta uzi unafahamu kweli kinachoendelea kwenye hii kesi ya ACACIA na serikali??
ACACIA wameshasema baada ya kupelekewa credit note na TRA kuwa hawalitambui deni and so hawalipi.
Sasa mnaenda kujadiliana na nani Mkuu..??
Fatilia taarifa zipo hapa thread za jana.
Rais mwenyewe anasema wazi kuwa Tanzania kila kitu hewa: watumishi hewa, wanafunzi hewa, vyeti hewa, matrilioni hewa...kasoro kimoja, labda vichwa vya walio wengi, havina hewa bali vichwa maji...Aisee kumbe ukitokwaga na povu unakuwa kituko cha karne...
Endelea kusubiri Matrilioni hewa.
Hao vijana wa bavicha wamegeuka adui wa taifa.Kwani ile notice iliishia wapi ya kwenda london kwenye mahakama ya usuluhishi??
upinzani hewa.Rais mwenyewe anasema wazi kuwa Tanzania kila kitu hewa: watumishi hewa, wanafunzi hewa, vyeti hewa, matrilioni hewa...kasoro kimoja, labda vichwa vya walio wengi, havina hewa bali vichwa maji...
yes, na serikali hewa.upinzani hewa.