Hili la Ole-Naiko kuwa Executive Director wa Acacia baada ya kustaafu TIC limulikwe

Nakubaliana kabisa na wewe mkuu.Ajira hii ina ukakasi sana.Inaonyesha wazi kwamba Ole Naiko alifanya madudu ambayo yalii-favour Acacia,and this is a kick back.Achunguzwe huyu.
Hakika mkuu, hili jukwaa natumaini vyombo vya dola na ikulu itachukua ushauri wetu.
 
Ndugu wana-JF kama mtakubuka ndugu Emanuel Olenaiko amekuwa Mkuu wa uendeshaji na baadaye Mkurugenzi mkuu wa Kituo cha uwekezaji TIC kwa miaka mingi sana. Na amehusika kutoa leseni kwa makampuni/wawekezaji mbalimbali hapa Tanzania wakiwamo Barrick/Acacia.

Sasa kitendo cha kuajiriwa na Acacia/Barick kama Executive director anayeshughulikia mahusiano na serikali kinaleta ukakasi. Ni lazima itungwe sheria kali kuzuia hawa maafisa wakuu wa serikali kuajiriwa na makampuni waliyokuwa wanayasimamia katika utekelezaji wa sheria.

Kama Ole Naiko alikuwa mtumishi/wakala wa serikali katika kuingia makubaliano, je kwa sasa si ni hatari katika kipindi ambacho tunaenda kwenye majadiliano na Acacia/Barrick ambapo atatumika kutoa taarifa za ndani/siri za serikali zitakazotumika kutunyima fursa ya kuwa na nguvu katika majadiliano?

Ifike wakati Emmanuel Ole Naiko aondoke Barrick/Acacia ili kulinda maslahi ya serikali na nchi ya Tanzania. Ujumbe huu naomba usambazwe hadi aupate leo leo kisha usiku wa leo aondoke mwenyewe.
Mitandao ya kijamii mnapanga jinsi ya kuifunga ikiwemo jamiii forum, ona sasa unavyohangaika kuitumia mitandao hiyo hiyo kumnyanyasa Ole Naiko. Aiiibu, aibu yako, hata wewe?
 
Jielekeze kwenye hoja kijana.
 
Kwani akiamua kuzitoa hizo siri hata bila ya kuwa na cheo chochote huko ACASIA, nini kitazuia asifanye hivyo?
Sawa lakini kwa kuwa pale kuna mgongano wa mawazo, bora aondoke aamue tu kuwa kibaraka kwa kificho kuliko kuwa kibaraka wa waziwazi.
 
Ndugu wana-JF kama mtakubuka ndugu Emanuel Olenaiko amekuwa Mkuu wa uendeshaji na baadaye Mkurugenzi mkuu wa Kituo cha uwekezaji TIC kwa miaka mingi sana. Na amehusika kutoa leseni kwa makampuni/wawekezaji mbalimbali hapa Tanzania wakiwamo Barrick/Acacia.

Sasa kitendo cha kuajiriwa na Acacia/Barick kama Executive director anayeshughulikia mahusiano na serikali kinaleta ukakasi. Ni lazima itungwe sheria kali kuzuia hawa maafisa wakuu wa serikali kuajiriwa na makampuni waliyokuwa wanayasimamia katika utekelezaji wa sheria.

Kama Ole Naiko alikuwa mtumishi/wakala wa serikali katika kuingia makubaliano, je kwa sasa si ni hatari katika kipindi ambacho tunaenda kwenye majadiliano na Acacia/Barrick ambapo atatumika kutoa taarifa za ndani/siri za serikali zitakazotumika kutunyima fursa ya kuwa na nguvu katika majadiliano?

Ifike wakati Emmanuel Ole Naiko aondoke Barrick/Acacia ili kulinda maslahi ya serikali na nchi ya Tanzania. Ujumbe huu naomba usambazwe hadi aupate leo leo kisha usiku wa leo aondoke mwenyewe.
Hicho chako ni choyo,sasa Huyo bwana ameshastaafu serikalini na amejiunga na secta binafsi ili aendelee na maisha yake au we ulitaka awe omba omba kama wanasiasa wetu wanapostaafu wanapobaki kuwa watumwa kwa viongozi waliopo madarakani.
 
Kijana ni dhahiri huelewi dhumuni la mjadala huu, ndio maana Mwanasheria mkuu wa serikali akistaafu hatakiwi kuajiriwa na kampuni binafsi ili kulinda siri za serikali.
 
Hahahahaahhahahhahahaha..
Wala usibadilike Mkuu... Endelea kuwa ivyo ivyo kama jiwe kwa haya matumaini yenu ya kulipwa hayo Matrilioni hewa..
Dunia nzima toka jana inawacheka.
Madege yalipokuwa yanatua Na kubeba mzigo unadhani ilikuwa samadi hiyo ?
 
Ndugu wana-JF kama mtakubuka ndugu Emanuel Olenaiko amekuwa Mkuu wa uendeshaji na baadaye Mkurugenzi mkuu wa Kituo cha uwekezaji TIC kwa miaka mingi sana. Na amehusika kutoa leseni kwa makampuni/wawekezaji mbalimbali hapa Tanzania wakiwamo Barrick/Acacia.

Sasa kitendo cha kuajiriwa na Acacia/Barick kama Executive director anayeshughulikia mahusiano na serikali kinaleta ukakasi. Ni lazima itungwe sheria kali kuzuia hawa maafisa wakuu wa serikali kuajiriwa na makampuni waliyokuwa wanayasimamia katika utekelezaji wa sheria.

Kama Ole Naiko alikuwa mtumishi/wakala wa serikali katika kuingia makubaliano, je kwa sasa si ni hatari katika kipindi ambacho tunaenda kwenye majadiliano na Acacia/Barrick ambapo atatumika kutoa taarifa za ndani/siri za serikali zitakazotumika kutunyima fursa ya kuwa na nguvu katika majadiliano?

Ifike wakati Emmanuel Ole Naiko aondoke Barrick/Acacia ili kulinda maslahi ya serikali na nchi ya Tanzania. Ujumbe huu naomba usambazwe hadi aupate leo leo kisha usiku wa leo aondoke mwenyewe.

Pumba hizo, undeni sheria irudishe nyumba za serikali na manunuzi ya meli mbovu na maamuzi nje ya bajeti kama bombadier na chato airport
 
Dah hizi akili halafu mkipata sifuri kwenye mitihani mnasema hamfundishwi? Hivi mbona unaongea nje ya mada kabisa. Au ndio ''ukamanda'' huu.
 
Back
Top Bottom