Hili la NBC Je Huu si Udini Jamani?

Angalia sasa huyu mwingine. Maskini!

Unajua matatizo ya kulelewa na mama peke yake bila baba ndani ya nyumba ndio haya!

Halafu maskini anakuza kwa shida, elimu hakuna. Malezi ya kukulia mtaani!

Matokeo mtoto anakuwa sio rizki kama huyu!

Mtu anaongelea habari ya benki. Huyu anaongea habari zingine zisizo julikana!!

Ukitaka kumuongelea muhamad! Hapa sio mahala pake!.

Njoo kwenye kurasa hizo. Upigwe msasa kidogo!

Hapa utachafua thread ya watu!.

Njoo huku nakusubiri!

wapi nije nikusugue mbona unaishia hewani
 
wapi nije nikusugue mbona unaishia hewani

sasa mimi niliposema hawa wagalatia wanamacho lkn hawaoni! Mlidhani nasema uongo, haya huu mfano halisi!
Njoo huku! Mbona kuna wenzako wengi tu!!, kwani nyie hamna klabu ya kufahamishana mlo uko wapi !?
 
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya miezi miwili na nusu kwa ajili ya wateja wake wa huduma za kibenki zinazofuata sheria za Kiislamu, ili kupata washindi wawili watakao kwenda kuhiji Makkah Oktoba mwaka huu kwa kulipiwa kila kitu na benki hiyo.

___________________________________________________________________________________________

Nadhani kwa hali ya kidini iliyopo nchini kwa sasa, NBC hawakutumia BUSARA kuendesha hili zoezi kwa sasa.NBC ina wateja mchanganyiko WAISLAM na WASIO waislamu SASA kama mshindi atakuwa si MWISLAMU, je naye atagharimiwa kwenda ROMA, Israel au INdia AU KWINGINEKO? Je ikitokea Bank inayoendeshwa kwa utaratibu wa kibuda, Kikikristo au ya wasio na dini, hiyo Bank itaruhusu KWELI taratibu kama hizi za NBC bila kuzingatia matakwa ya wateja wasio wa Imani hiyo.Nawakilisha.Ahsante

ww babu una CHUKI na uisilamu, lakini kaa ukijua km uislam haufi kwa chuki zako ww na wenzako, ntakufa nyinyi uislam mtauwacha hapahapa......."hakika dini mbele ya ALLAH ni uislam"

je! dini yako hy ya ukafiri imekuamrisha uchukie dini nyengine na watu wake???
 
Nachoweza kusema hapa ni kwamba kwa LUGHA uliyotumia hapa WEWE si MWISLAM.Ahsante
ww babu una CHUKI na uisilamu, lakini kaa ukijua km uislam haufi kwa chuki zako ww na wenzako, ntakufa nyinyi uislam mtauwacha hapahapa......."hakika dini mbele ya ALLAH ni uislam"

je! dini yako hy ya ukafiri imekuamrisha uchukie dini nyengine na watu wake???
 
NBC imejaa ukoo wa kina mkurugenzi mtendaji mkuu wa benki hiyo.kajaza ndugu zake kibao kila idara.Tanzania hii acha tu
 
Back
Top Bottom