Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,989
- 1,179
NA je CRDB kuwamwagia mapesa wakatoliki kujenga kitega uchumi pale Msasani huoni huo nao ni udini? Acheni uchochezi nyie! wakifanyiwa maprotestants ni sawa waislamu udini?! mna kazi kweli kweli !
Hili swali unatakiwa uiulize benki inayohusika.
Kuleta thread kama hii hapa ni kutafuta uchochezi usiokufaidisha wewe wala wananchi
Mi navyojua islamic banking ni kwa wale wanaokubaliana na system hiyo.hata kama utakua si wadini hiyo na ukashinda sidhani kama watakulazimisha uende maka kuhiji,nadhani vigezo lazima uwe mtu wa dini hiyo.
Jamaa wanajua waislam wengi ndo wafanyabiashara wakubwa wakatarget soko.
Kukosa maarifa ni mzigo, sasa unataka wawape wakristu zawadi ya kuhij Makkah?
Malalamiko mengine hayana hata mantiki
Wenzio wanawaza kuongeza wateja wa sharia account, wewe unalalama na udini.
Wamewapa kama wateja I hope ni mkopo!Na sidhani kama ata mkopo hutolewa kwa misingi ya dini?NA je CRDB kuwamwagia mapesa wakatoliki kujenga kitega uchumi pale Msasani huoni huo nao ni udini? Acheni uchochezi nyie! wakifanyiwa maprotestants ni sawa waislamu udini?! mna kazi kweli kweli !
Tafadhali futa kauli yako pale msasani si wakatoliki ni KKKT, nyie watu mna tatizo gani na wakatoliki, mkristo akifanya lolote mnarukia ukatoliki tuNA je CRDB kuwamwagia mapesa wakatoliki kujenga kitega uchumi pale Msasani huoni huo nao ni udini? Acheni uchochezi nyie! wakifanyiwa maprotestants ni sawa waislamu udini?! mna kazi kweli kweli !
NA je CRDB kuwamwagia mapesa wakatoliki kujenga kitega uchumi pale Msasani huoni huo nao ni udini? Acheni uchochezi nyie! wakifanyiwa maprotestants ni sawa waislamu udini?! mna kazi kweli kweli !
Nimekusamehe kwa matusi yako.Ahsante
Pole, lakini ndio hivyo
Kila biashara lazima ujue jinsi ya kuongeza wateja, ukizubaa biashara itakufa
Na usikubali kuwa upande wa kulalamika tu, waweza jifunza toka NBC, ukaanzisha mgahawa, ukiona noah haitoki ukatoa zawadi ya kutembelea shamba la noah pale kilimanjaro kwa wateja wako wa noah wataoshinda.
Kila kitu ukikiangalia hasi, utaona hasi tu bila kujali hali halisi. Je hakuna chanya kwenya jambo hilo?
Wapendwa kwa mtazamo wangu: Naamini hii ni mbinu za kibiashara only, Kwani ukitafakari utaona Matangazo ya biashara mbalimbali hushiriki katika namna ya kuwachota wateja..Mfano shirika la ndege likitangaza kuwa Mwenye kuchukuwa tiketi ya kusafiri katika kipindi fulani tutampa nyongeza mileage au usafiri wabure wakwenda hija/world cup/ Dubai festival nk.
" Ukweli kwa muumini wa kiislamu hana haja ya kuchukuwa pembejeo au faida ya Benki kwa kuifanyia ibadaa" kwa sababu
nyongeza za benki ni RIBA'a (interest) an RIBAA ni haramu" kwa hiyo Muisilamu hatumii fedha za haramu kuhijia.... anahitaji atumie PURE rasilimali ilokuwa safi kwa ibadaa yake ya Hija. MwenyEzzi Mungu hahitaji uchafu wala hana haja ya mali iliyokuwa na chembe cha haramu, Hapokei ila liloSafi na Muruwa na Tayibu. Kwa sababu MwenyEzzi mungu hakulazimishi uende Hija ila kwa uwezo wako na halali ya mali yako. Allah atukubalie machache yetu kwani bado tunaupungufu na kasoro zetu.AMIN
Kongosho naomba ukumbuke historia ya NBC.Hizi taratibu za Sharia zilianzishwa miaka si mingi na hivyo ziliwakuta wateja wa imani mbali mbali.Je, hili jambo liliwekwa wazi kwa Stakeholder wote na wakalikubali? Lets look this matter from different angles.Ahsante