Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,988
- 1,175
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya miezi miwili na nusu kwa ajili ya wateja wake wa huduma za kibenki zinazofuata sheria za Kiislamu, ili kupata washindi wawili watakao kwenda kuhiji Makkah Oktoba mwaka huu kwa kulipiwa kila kitu na benki hiyo.
___________________________________________________________________________________________
Nadhani kwa hali ya kidini iliyopo nchini kwa sasa, NBC hawakutumia BUSARA kuendesha hili zoezi kwa sasa.NBC ina wateja mchanganyiko WAISLAM na WASIO waislamu SASA kama mshindi atakuwa si MWISLAMU, je naye atagharimiwa kwenda ROMA, Israel au INdia AU KWINGINEKO? Je ikitokea Bank inayoendeshwa kwa utaratibu wa kibuda, Kikikristo au ya wasio na dini, hiyo Bank itaruhusu KWELI taratibu kama hizi za NBC bila kuzingatia matakwa ya wateja wasio wa Imani hiyo.Nawakilisha.Ahsante