Hili la Naibu Waziri wa Mambo ya Nje kujiandalia ubunge kwa Resources za Serikali halijaonekana?

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Wadau

TBC muda huu inarusha kipindi maalum cha Naibu waziri Suzan Kolimba, huku akitumia gari la serikali ktk zoezi Lenye tafsiri ya kujiandaa na ubunge kule Ludewa

TBC inapata nini hapo?
Kuna Malipo? kama hakuna mbona hatuoni za wenye harakati wengine?

Mbona Naibu waziri hamwagi misaada sehemu nyingine?
 
Kwani Ludewa bado wanamihemko na majina??? Kolimba alishapita tena kwa usaliti....yeye anaenda , jipya gani?? Wananchi wameamka sasa wala tusiwe na wasi wasi.....awape tu hizo pesa wanazolipana maana wateule tu ndio wa enjoy
 
Mbona kuna makala ya matunda matunda
 
Kwani Ludewa bado wanamihemko na majina??? Kolimba alishapita tena kwa usaliti....yeye anaenda , jipya gani?? Wananchi wameamka sasa wala tusiwe na wasi wasi.....awape tu hizo pesa wanazolipana maana wateule tu ndio wa enjoy
Kwani ana uhusiano wowote na Al marhum Horace Kolimba?
 
Back
Top Bottom