Bunge ni sehemu inayojumuisha mkusanyiko wa watu mbalimbali, na kumbuka kuwa watu hawa hawajapewa kinga dhidi ya ugonjwa huu suala linaloweza kupelekea kuenea kwa ugonjwa huo miongoni mwa wabunge au watu wengine wanaokusanyika eneo la bunge, ukizingatia kuwa ugonjwa huwa hauchagui kuwa hapa ni bungeni au la.
kwa nini polisi msisimamishe mkutano wa bunge ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa huu?
kwa nini polisi msisimamishe mkutano wa bunge ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa huu?