Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
UsijaliNaendlea vzur ila nahis nahitaj maombi ntafutie mchungaji tufanye maombi
Mimi ni muombaji tosha! Nitakuombea!
UsijaliNaendlea vzur ila nahis nahitaj maombi ntafutie mchungaji tufanye maombi
Haya mambo yanategemeana na mwili wa mtu pia.Let say siku za hatari unaanza tar24 December, then tar23 usiku ukasex tar24 mchana ukanywa p2 mbili na fragile 2, January ukapima mimba ipo
Hii ikoje wataalamu?
Na je mtoto atakua hana tatizo?
P2 na fragile si ni dawa kali sana hadi zinatoa mimba imekuaje mimba ikatungwa?
Nb: negative comments hazitakiwi
Kuna watu mna vizazi vya voda fasta. Anyway kama unataka kuitunza hiyo mimba nenda kapige ultra sound mara nyingi ukitumia p2 mimba inaweza ikatungwa nje ya mfuko wa uzazi (fallopian tube). Kama hutaki kuitunza hiyo mimba tafuta misoprostol ila hakikisha unaenda hospitali kusafishwa usije kupata matatizo baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona tayar dalili za mimba zeimeshaanza kufanya kazi.
Hongera Sana mama kijacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yanategemeana na mwili wa mtu pia.
Kizazi kilikuwa tayari kupokea na kimeshachukua zake mfukoni.
Sasa wakati wewe unameza hizo dawa, mimba ishatungwa zamani!
Ukiona hivyo, ujue hizo dawa za kuzuia zimeshindwa. Hivyo ni mawili tu;
Either uiache ikue au utumie za dawa za kuitoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada una hatari...siku ya hatari ni tarehe 24 wewe ukafanya tarehe 23 usiku,tena kavu!!
Sifahamu sana kuhusu uzazi lakini nakushauri ujaribu kwenda hospital kufanya USS ili kujua kama kuna tatizo kwa mtoto
Very niceNaiacha
Tumekubaliana na mwenzangu tulee tu
AimeennnBasi mm zimenigomea
Ila namshukuru Mungu pia
Kifo cha nyani miti yote huteleza
Asante kwa ushauri kesho naanza clinic nitafanyia kazi hilo
Lakini am sure kama vidonge vimeshindwa kuzuia mimba isitungwe basi hata mtoto atakuwa salama