Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,607
- 93,385
Nimeshatoa tahadhari kabla ya kuharisha ujuwe mjadala unatarget nini? Hili si la ushabiki wa vyama nakuomba ukae pembeni au nenda kwenye thread zingine.Mwacheni Kikwete apumzike. Sasa runa Rais Magufuli na Mwenyekiti wa CCM ni Magufuli
Nadhani mimi na wewe wote hatuna kazi ndio maana tupo kwenye thread hii.Huko ni kukosa kazi.
Vitu vidogo unavikuza.
Halafu mwenyekiti wenu wa maisha ndugu Mbowe alishawaambia nyumbu wake kuwa waacheni wafu wazikane.
Wana jukwaa,
Kuna tabia moja sugu na ya muda mrefu nimeigunduwa kutoka kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete,
Imekuwa ni kawaida kiitifaki kila mtu mwenye nafasi fulani huanza kuitwa kwaile tittle yake hasa wakati mtu anayemtamka mwenzake akiwa ni mtu wa itifaki,
Lakini kwa Rais mstaafu kwa sababu ni mtu wa pwani basi amekuwa na figisu zake za kimyakimya kuonesha kiburi na dharau kwa wengine bila wengi kumgunduwa.
Kwa mfano sidhani kama kuna siku huyu Rais mstaafu aliwahi kumtamka Baba wa Taifa kwa title yake, mara nyingi au zote umtamka kama Mzee Nyerere.
Kilichonisukuma kuandika thread hii leo tena kwenye kikao cha Nec nimemsikia akimwita Rais Magufuri kwa jina la ndugu Rais badala ya mheshimiwa Rais.
Kwa mtu asiyeijuwa vizuri nchi hii ilikotoka hawezi kuelewa mantiki ya thread hii ila kwa waelewa nachokoza mada tu je Kikwete anajuwa vyema na anamaanisha anachokitamka au Coincidence tu?
Kwa wale wanaodandiaga tu mada nakuanza kuharisha bila kuelewa content ni kwamba turudi enzi zetu ambapo kiongozi aliitwa ndugu na siyo mtukufu wala mheshimiwa?
RUNA rais magufuli ndiyo una maanisha nini?Mwacheni Kikwete apumzike. Sasa runa Rais Magufuli na Mwenyekiti wa CCM ni Magufuli
Rusato weweHuko ni kukosa kazi.
Vitu vidogo unavikuza.
Halafu mwenyekiti wenu wa maisha ndugu Mbowe alishawaambia nyumbu wake kuwa waacheni wafu wazikane.
Rusato weweKwa mara ya kwanza tokea niwe Member humu JF ndiyo nimeona leo umeanzisha UZI. Na nahisi pengine huu UZI ulianza kuuandika tokea mwaka jana na umekamilika leo Mkuu au? Hongera sana na sasa UNAKOMAA Kijana na kuwa Great Thinker wa ukweli.
Ngoja nirudie tena kusoma huu UZI wako kwani ni mtamu sana.
kweli kabisa hiyo cheo yatosha Mutukufu ni Mungu na wakuheshimiwa ni Mungu pia .Shukran ndugu mchokoza mada.Wana jukwaa,