jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,604
- 3,753
Wewe kimekuuma nini.mitanzania bwana inaongea kuliko vitendo
HAPANA! Watanzania, hususani walio na mawazo kama wewe ndio wanatakiwa kubadilika kimtizano na kuachana na mawazo ya ujima!Mzozo huo, unaonyesha ni kwa namna gani Watanzania wanatakiwa kufunguka sana kimitazamo juu ya diplomasia ya Kenya kwamba wao ni wabinafsi waliojaa ego.
Unaona sasa! Kumbe you've leverage lakini badala ya kuitumia mnadhani solution ni kulia lia! Nyie watu mbona Nyerere kawaharibu hivi?!Ni aibu kwa Kenya kufanya kitendo hicho ukifikiria kuwa Uganda ndiye mteja namba moja wa bidhaa za Kenya huku uchumi wa nchi hizo ukiwa unategemeana kwa kiwango kikubwa.
Sera za kulia lia kama hizi ingekuwa zinalipa, tayari Tanzania ingeshakuwa tajiri tangu enzi za Baba wa Taifa!Uganda wamepanga kulipeleka suala kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kupigiwa kura.
Poor Kenyans!! If that's the case then they didn't hit harder enough though kwa kuanzia sio mbaya sana manake inatosha kutuonesha sisi mataifa misukule kwamba opportunity zinatafutwa! Opportunity zinaporwa!! When necessary, unaweza kutumia hata dirty covert plans kupora fursa!Nadhani chanzo cha mipango hiyo haramu ya Kenya ni kutaka kuikomesha Uganda baada ya mwaka 2016, Uganda kuamua kupitishia bomba la mafuta la Hoima - Tanga nchini Tanzania badala ya Kenya.
Kenya kakosa utu au anatumia fursa ya kuzungukwa na mataifa yanayowaza the way walivyokuwa wanawaza akina Mwalimu Nyerere, Milton Obotte, Mzèe Kaunda na wengineo?!Aidha, mnamo tarehe 4 Mei 2018, akiwa Mjini Nairobi, Rais wa Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, wa Rwanda, pamoja na Jaji Mkuu wa Kenya, waliunga mkono pendekezo la Kenya kuhamisha Makao Makuu ya Mahakama hiyo kutoka Arusha kwenda Nairobi eti kwa kuwa, Nairobi ndiyo kitovu (hub) cha Afrika Mashariki.
Cha kushangaza ni kwamba, Jaji Mkuu wa Kenya alidai kuwa, hatua ya kuhamisha Makao Makuu kutoka Arusha kwenda Nairobi ina lengo la kusaidia mchakato wa ushirikiano (integration process) kwa faida ya wananchi wa Afrika Mashariki.
Kama Kenya amekosa utu kwa Uganda, je akipata nafasi kwa Tanzania itakuwaje? Je, baada ya kuipata Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, watataka nini tena?
Naunga mkono hojaSiyo watanzania ni wafuasi wa Mange kimambi wakiongozwa na dada yao shame on them
ThanxKihara Kariuki ni AG sio CJ,point of correction
Kwa mtazamo wako, unamaanisha hatuhitaji hata Jumuiya ya Afrika Mashafiki coz tunawatengezea zaidi Kenya ulaji.HAPANA! Watanzania, hususani walio na mawazo kama wewe ndio wanatakiwa kubadilika kimtizano na kuachana na mawazo ya ujima!
The Kenyans lobbed ili kupata fursa! Hiyo ndiyo leadership!! Unaangalia wapi kuna fursa kisha unaipora! Sio ulimwengu wa kulia lia huu! Hakuna undugu kwenye fursa!
Wakati wewe unaita ubinafsi, mimi naita matumizi sahii ya fursa! Hata ukiwa na demu mzuri; ukiwa boya lazima watu wakupore!
Tubaki undugu kwenye kuongea Kiswahili lakini mengine ni survival for fitness!
Kama Wakenya wamewatwanga Waganda; it's Waganda's responsibility kutafuta ni wapi watawatandika Wakenya na kuwasababishia maumivu makali zaidi! Unaona sasa! Kumbe you've leverage lakini badala ya kuitumia mnadhani solution ni kulia lia! Nyie watu mbona Nyerere kawaharibu hivi?!
Sera za kulia lia kama hizi ingekuwa zinalipa, tayari Tanzania ingeshakuwa tajiri tangu enzi za Baba wa Taifa!
Labda tu niwakumbushe, wakati Uganda wanalilia, the so called Manyang'au hivi sasa watakuwa wana - lobby na mataifa mbalimbali ili kura zipigwe kwa niaba yao!
Utashangaa siku ya siku; miongoni mwa mataifa ambayo hayakupiga kura miongoni mwao ni some EAC Members!
Poor Kenyans!! If that's the case then they didn't hit harder enough though kwa kuanzia sio mbaya sana manake inatosha kutuonesha sisi mataifa misukule kwamba opportunity zinatafutwa! Opportunity zinaporwa!! When necessary, unaweza kutumia hata dirty covert plans kupora fursa!
Kenya kakosa utu au anatumia fursa ya kuzungukwa na mataifa yanayowaza the way walivyokuwa wanawaza akina Mwalimu Nyerere, Milton Obotte, Mzèe Kaunda na wengineo?!
Au kama vipi, train deep cover agents wanao-specialize kwenye wizi tu! Ukiwapata wa kutosha, wapenyeze Bandari ya Mombasa kuhakikisha kila siku Wateja wanaotumia bandari ya Mombasa wanalia!
Ukifanya hivyo, miezi 3 tu Wafanyabiashara bandari wanaikimbia ile!
Wakiikimbia Bandari ya Mombasa I hope you know wataenda wapi; right?!
What about ku-divert destination ya Watalii?! You know how to do it; right?!
Acheni kulia lia! Let's use available resources at our disposal kufanya attempt ya kupora opportunity toka kokote iliko na kama hatuwezi; tuwaache wanaoweza waendelee kutufanya misukule!
We ni mzee wa empiricism!!! Siku ukianza kuwa realistic, utajua kuwa ni hila siyo natural processAcha kupotosha mkuu un wenyewe ndio walikaa wakajadiliana kuwa wahamishie Nairobi asee wabongo kwa kupotosha hatujambo
SureHili shirika lao la ndege la KQ ambao wale wa IQ za 100 wanalisifia humu na kunanga ATCL ambayo Mh Rais JPM anahangaikia kulifufua asili yake ni wizi wa ndege za iliyokuwa EAA. Fikiri mwizi wa ndege!!! Inabidi kwenda naye kwa kuchukua kila aina ya tahadhari.
Asante sana ndugu kwa kutufumbua macho atleast tunaona how bad kenyan they are in our region....i think wanashida pahara coz they are used to kill some of our company not once but for now let us say ts enought...ukileta janja janja we are janjajanja than you kenyan....Tangu tarehe 7 Mei 2018, kumekuwepo habari nchini Kenya kuwa, Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, amemwandikia Katibu Mkuu wa UN, Antonio Gutierrez, kutoridhishwa na kupinga kitendo cha kupendekeza kuhamisha Kituo cha UN kilichopo Entebbe, Uganda kupelekwa Nairobi, Kenya.
Kulingana na the Monitor la Uganda, tayari Bunge limeunda timu ya wabunge kufuatilia suala hilo. Vilevile, FM wa Uganda Sam Kutesa, alikosoa criteria iliyotumiwa na UN kuhamisha kituo hicho na kudai kuwa, UN ilipaswa kusambaza na kugawanya shughuli zake kwa wanachama wake kwa usawa.
Taarifa zinadai kuwa, Kenya kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Macharia Kamau, aliyekuwa Balozi wa Kudumu wa Kenya UN ndiye aliyehusika na lobbying kuanzia mwaka 2016 akitumia uzoefu wake wa kuwepo UN kwa miaka 25 ambapo aliwasilisha mipango ya Serikali kujenga SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi, pamoja na kuanzisha flights za moja kwa moja kutoka Nairobi hadi New York, Marekani, hali iliyowavutia UN kufikiri uamuzi huo.
Kituo hicho kimeajiri watu 420, huku kati yao 285 ni Waganda, hivyo kuhamishwa kwa Kituo hicho kutaondoa ajira za wengi. Vilevile, uwepo wa Kituo hicho uliinufaisha Uganda Dola milioni 1, sawa na bilioni 21 (shilingi za Uganda).
Mzozo huo, unaonyesha ni kwa namna gani Watanzania wanatakiwa kufunguka sana kimitazamo juu ya diplomasia ya Kenya kwamba wao ni wabinafsi waliojaa ego. Hawaamini katika ushirikiano bali katika domination. Ni aibu kwa Kenya kufanya kitendo hicho ukifikiria kuwa Uganda ndiye mteja namba moja wa bidhaa za Kenya huku uchumi wa nchi hizo ukiwa unategemeana kwa kiwango kikubwa. Uganda wamepanga kulipeleka suala kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kupigiwa kura.
"Mwenzako akinyolewa, tia maji."
Nadhani chanzo cha mipango hiyo haramu ya Kenya ni kutaka kuikomesha Uganda baada ya mwaka 2016, Uganda kuamua kupitishia bomba la mafuta la Hoima - Tanga nchini Tanzania badala ya Kenya.
Aidha, mnamo tarehe 4 Mei 2018, akiwa Mjini Nairobi, Rais wa Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Emanuel Ushiragebuja wa Rwanda, pamoja na Jaji Mkuu wa Kenya, Kihara Kariuki waliunga mkono pendekezo la Kenya kuhamisha Makao Makuu ya Mahakama hiyo kutoka Arusha kwenda Nairobi eti kwa kuwa, Nairobi ndiyo kitovu (hub) cha Afrika Mashariki.
Cha kushangaza ni kwamba, Jaji Mkuu wa Kenya alidai kuwa, hatua ya kuhamisha Makao Makuu kutoka Arusha kwenda Nairobi ina lengo la kusaidia mchakato wa ushirikiano (integration process) kwa faida ya wananchi wa Afrika Mashariki.
Kama Kenya amekosa utu kwa Uganda, je akipata nafasi kwa Tanzania itakuwaje? Je, baada ya kuipata Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, watataka nini tena?
Uganda: Museveni Protests to UN Boss Over Dropping of Entebbe as Base.
The International Court AG Wants Moved to Nairobi
What?! Who said that?! Hoja ni kwamba, your country first mengine baadae!!Kwa mtazamo wako, unamaanisha hatuhitaji hata Jumuiya ya Afrika Mashafiki coz tunawatengezea zaidi Kenya ulaji.
Kiswahili asili yake ni Lamu ila mimi sijui Lamu ipo nchi gani, nadhani ipo Tanzania, halafu kuhusu UN kuhama, kizuri cha jiuza Kenya ipo vizuri kidemokrasia na kiuchumi, sisi tulie tuTumezubaa sana. Tumezubaa muda mrefu sana. Wakenya ni oppotunists wazuri sana.
Angalia nchi zote ambazo hazina balozi hapa, mabalizi wapo kenya, yani kenya ina ofisi za ubalozi wa nchi nyingi kuliko Tanzania na Uganda kwa pamoja.
Watanzania tumezubaa sana, jana naona Twitter wanatambua kiswahili, ni kwa jitihada za Wakenya, sisi tumezubaa, wakenya waliwahi kumlipa mrisho mpoto akatangaze kua kiswahili kinatokea kwao na si mahala pengine, alivyo zero brain kweli likasema kiswahili kinatoka kenya.
Tukizubaa sio kosa la wakenya, ni kosa letu. Demu akikuacha sio kosa lake, ni kosa lako wewe na mwingine kaona fursa akamshawishi kutoka kwako.
Acha Uongo! Kasome upya nadharia na chimbuko la kiswahili!Kiswahili asili yake ni Lamu ila mimi sijui Lamu ipo nchi gani, nadhani ipo Tanzania, halafu kuhusu UN kuhama, kizuri cha jiuza Kenya ipo vizuri kidemokrasia na kiuchumi, sisi tulie tu
Mimi tayari nishasoma, ni LAMU, sasa na wewe lete nadharia za usomi wako, be professional pleaseAcha Uongo! Kasome upya nadharia na chimbuko la kiswahili!
Dawa yao Ni kuvunja EAC na wote uganda tanzania rwanda Burundi na south Sudan kujiunga na sadc tuone jeuri ya kenya na mabeberu wao itakuwa wapihawa muda wao utafika tu
Ok boss.Mimi tayari nishasoma, ni LAMU, sasa na wewe lete nadharia za usomi wako, be professional please
Wakenya ndio walio-lobby kama ambavyo Mexico City nao walivyofanya.Ni Kenya wanataka au ni UN wanataka?