Haya wale wa Dar es Salaam na Nairobi mliopatwa na Mafuriko na Mvua kubwa tupeni 'Experiences' zenu kwani huenda Mvua hii kubwa ikamalizika Kampala

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,759
111,915
Mimi nilijua hii Mvua itaishia tu kuwa na Madhara makubwa huko Tanzania ( Dar es Salaam ), Kenya ( Nairobi ) kumbe inaweza pia ikanyesha kwa Ukubwa huo huo na wenye Madhara zaidi hapa Kampala nchini Uganda na ikahitishimisha dhamira yake ya Kunyesha katika Nchi Kongwe zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashaiki.

Nitawashukuruni wana Tanzania na Kenya mkinipa 'Experiences' zenu Mimi mwana Afrika Mashariki GENTAMYCINE.
 
Back
Top Bottom