Hili la Bandari, Wananchi tuiamini Serikali

Serikali haijibu hoja inaleta vohoja tu..... kutengeneza watetezi weengi wasio na uelewa wowote,mmoja wa watetezi akiwa kwenye shughuli zake za kawaida
View attachment 2673892
Kwa kuwa mkataba wenyewe ni wa hovyo, Serikali haiwezi kuwapata watetezi wenye uelewa, ndiyo maana watetezi wote wa Serikali kwenye huu mkataba wa hovyo, unaona wazi kabisa, ni wale wenye uelewa na upeo duni sana. Maadam wamelipwa, basi wanaandika chochote bila ya kutambua kuwa huku kuna watu wenye uelewa na taarifa hata zaidi ya mara 10 yao.

Watu wote wenye akili, uelewa na weledi, hata waliopo ndani ya Serikali, japo wanakosa ujasiri, lakini wote wanaupinga huu mkataba wa kishenzi. Na hakuna chochote watakachoamua kufanya huko ndani ya Serikali, ambacho hatutakijua, kwa sababu wazalendo wapo kila sehemu.
 
Kwahiyo ndio unataka tukubali kisa kulikuwa na kiongozi dhalimu hapo nyuma? Kwani dhalimu alikuwa hapingwi, au unadhani kwakuwa alikuwa ni mlevi wa madaraka basi watu walimuogopa kihivyo?
Sijui unataka kusema nn?
 
Kwenye sheria za manunuzi ya umma
Ilipaswa itangazwe zabuni na kampuni zishindane kisha tuchague moja tunayoona inafaa

Hawa DP World walishindanishwa na nani?
Walipatikanaje?
Kwanini serikali ilivunja sheria?
Kwanini ilikuwa Siri?
Walihongwa?

Bunge halikupata muda wa kujadili ripoti ya CAG lakini lilitengua kanuni kujadili mkataba wa bandari jumamosi kwa dharura bila kuwashirikisha wananchi kwanini?

Tunataka haya maswali yajibiwe.
 
Chawa katika 1 na 2
 
Hatuna shida na hatua ila tuna shida na MKATABA.1.Huo mkataba unaisha lini 2.Mkataba ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na DP World ya Dubai lakini cha ajabu Bandari za Tanganyika pekee ndiyo ziko kwenye mkataba huku za Zanzibar hazipo kwenye mkataba. 3.Waasisi wa huo Mkataba wanatokea pande nyingine ya Muungano ila wamekataa kuingiza bandari zao kwenye huu mkataba.Je kuna nini hapo?
 
Kama DP WORLD ina faida kwa nini Bandari za Zanzibar hazimo kwenye Mkataba?
 
Manufaa ya Bandari siyo sawa na unavyofurahia tendo la ndoa!
 
Vifungu vya mkataba haviashirr hiyo "nia njema" ya serekali.
 
Achana na hizi 👆👆porojo za uchawa!! Watanzania wamehoji vipengele vya msingi vyenye utata na sintofahamu, hakuna mtanzania anaepinga uwekezaji na ushirikiano wa kibiashara. NB; Acheni kujitoa akil!!
 
Enzi za mkono wa chuma Hawa wote wanaopinga mkataba wangekuwa kisutu kujibu kesi za uhujumu uchumi, jengo la TLS lingekuwa limeshalipuliwa na mabomu, viroba vya maiti vingetapakaa baharini na ......
Mkataba upi wa kuuza nchi ulisainiwa
 
Tuanze na Magufuli aliuza nyumba za serekali na nyingine kujigawia bure,akatununulisha Meli mbovu, akaigawa wapi sijui, ipo haja tukachimbua matakataka yote toka awali ili tuyarekebishe.
Raisi wa kwanza ni Nyerere, sasa kwanini uanze kwa Magufuli?
 
Hatuna tatizo na hayo, tatizo letu Ni baadhi ya terms za mkataba, mfano Kuvunja mkataba, muda wa mkataba nk
 
Hivi Mimi nikiamua kuingia mkataba na dreva bajaji yangu

nikimwambia kilasiku alete 50000//= malengo

Mafuta juu yake,matengenezo juu yake, Mambo ya matrafiki sjui Nini Mimi sipo nijuu yake.

Ila tu chombo iwe nzima kunashida?

Au ntakuwa ndiyo nimeiuza?

Watanzania tuna uelewa mdogo kuhusu uwekezaji ndiyo maana tunayo hofu

Ukiona jitu linapinga kuhusu mkataba huu Basi niyale manyonyaji ya pale bandarini

Wapewe waarabu vibarua,t.r.a.na garama nyingine ziwe juu yao

sisi tuchukue percent yetu ya umiliki tujenge madaraja,barabara,Shure, nk
Maisha yaendelee
 
Serikalini pia kuna wajinga wengi tu,haiwezekani kuaminika 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…