Hili la askari kuwa wanene kupitiliza linatatiza sana. Kwanini Waziri husika asiliangalie kwa jicho la tatu?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,648
HABARI ZENU WAKUBWA??

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
hivi inakuwaje askari wa kikosi cha usalama barabarani au hata Polisi hawa wananenepeana sana hadi vitambi vinakuwa vikubwa sana?

Hivi mfano trafiki anakua na kitambi kazi huwa anaifanyaje hasa pale ikitokea dharura ya kumkimbiza dereva wa gari ambaye ikatokea wamepishana kauli na dereva akaamua kukimbia?

Hata Polisi hawa wa sare ya kaki unakuta yupo analinda bank sasa na kile kitambi ataweza kukabiliana na jambazi ambaye ni jitu la miraba minne kweli?

Mimi naona hawa jamaa wenye vitambi wote wangepewa ratiba ya kukimbia kila asubuhi na jioni na wawe wanakula kutwa mara mbili

KWA MAANA HAWA JAMAA WANAHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU NA WANAKULA MISHAHARA TENA IKIBIDI WAWE WANAKATWA KODI YA KITAMBI ELFU 10 KWA MWEZI
NAKUOMBA WAZIRI ANGALIA HILI JAMBO KWA MAKINI SANA

[HASHTAG]#YUNGTEMPer[/HASHTAG]
 
HABARI ZENU WAKUBWA??
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
hivi inakuaje askari wa vikosi vya usalama barabarani au hata Polisi hawa wananenepeana sana hadi vitambi vinakuwa vikubwa sana?

Hivi mfano trafiki anakua na kitambi kama mimba Hivi kazi hua anaifanyaje hasa pale ikitokea dharura ya kumkimbiza dereva wa gari ambaye ikatokea wamepishana kauli na dereva akaamua kukimbia au hata Polisi hawa wa sare ya kaki unakuta yupo analinda bank sasa na kile kitambi ataweza kukabiliana na jambazi ambaye ni jitu la miraba minne kweli?

Wameridhika na hali zao na wanazifurahia ndio maana vitambi vinawatoka
 
Waziri mwenyewe Ndambi mtindo mmoja!!!
 
Hili suala la Vitambi Majeshini ni fedhea sana sana. Serikali iangalie kwa kina kulea maaskari wanaofuga matumbo kama wajawazito ni aibu sana kwakweli.
 
halafu unakuta wanalipwa mishahara mikubwa sana ni tatiZo
 
Kweli baadhi yao wanamatumbo

Mwingine ukiamshana nae akiwa bila silaa namchakaza vibaya mnoo, mpaka atamani kuacha kaz.
 
Hivi mfano trafiki anakua na kitambi kama mimba Hivi kazi hua anaifanyaje hasa pale ikitokea dharura ya kumkimbiza dereva wa gari ambaye ikatokea wamepishana kauli na dereva akaamua kukimbia au hata Polisi hawa wa sare ya kaki unakuta yupo analinda bank sasa na kile kitambi ataweza kukabiliana na jambazi ambaye ni jitu la miraba minne kweli?

Zamani askari walikuwa wanpiga kwata kali kila siku asubuhi, lakini waliokuwa wanaichukia ndiyo hao waliifuta walipopandishwa vyeo na matokeo yake ni hayo
 
Kwanini trafik wote wa kike ni wanene kupindukia. Hata wengine wa kiume. Mh. Lugola rudisha hawa wazembe CCCP moshi halafu wakitoka huko peleka FFU.
AU TOA TANGAZO KWAMBA ASKARI YOYOTE MNENE APELEKWE FFU. UTAONA VIJANA WETU WA BARABARA WATAKAVYOCHACHARIKA
 
Back
Top Bottom